Coutinho aomba kucheza Taifa Stars
![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4wwoEk7SwLHQFm0XnDaO0Jdl04-8WHaouM2BkMLitEFqkHi-64jzuoq98MO7x0RuYNrj8NAiiJDI-9Jw5a9jBqX/tinyo.jpg)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Mohammed Mdose KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, amesema yupo tayari kuichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iwapo Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) litamtaka afanye hivyo. Sheria za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) zinaruhusu raia wa nchi fulani kuichezea timu ya taifa ya nchi nyingine, akipata uraia wa nchi hiyo na iwapo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Nov
Taifa Stars kucheza na U23
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) kesho kwenye Uwanja wa Eldorado jijini Johannesburg.
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Taifa Stars kucheza mchezo wa kujipima uwezo na University of Pretoria
Kikosi cha timu ya taifa kikiwa katika moja ya programu za mazoezi.
Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa akinena jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Rabi Hume
Timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Johannesburg, Afrika kusini inatarajiwa kucheza mchezo wa kujipima uwezo na timu ya University of Pretoria (Tucks Fc) mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumapili Novemba,8.
Mchezo huo unaotariwa kuchezwa katika jiji la Johannesburg ikiwa ni sehemu ya program za Kocha wa timu ya taifa,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVSJaaWbSK7jn3D3xZxDMmCGw13QalGE-MyBLMp9b6YtHULpbeoitkn-8gh9MdaaAl-fWaY45nO7wqgGvzhDgb1/tinyo.jpg)
Coutinho alia, aomba... ulinzi
10 years ago
Vijimambo15 Dec
JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/HMB_6496.jpg)
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Stars ilistahili kucheza fainali
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Twiga Stars kucheza Chamazi
10 years ago
Vijimambo12 May
STARS UNITED KUCHEZA NA VITAMBI FC MAY 30
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/75391_463582562478_6584715_n.jpg?oh=1a53d4e2844ebb33252324e99072dede&oe=55CF3A5D)
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/315646_10151084775522479_1823073213_n.jpg?oh=2292fdba26739693c26182166fa5be9c&oe=560AA71F)
Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC siku ya Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.
Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo itakayofanyika DMV.
Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kPWAOYVbPQbjlQ-P0t25nPqd5WhAfMYIDoA6N7iLVR-*-WsRhY*T539wrFp7tiFgkl5bX6oCM3*f6lsuzqwfXQR30GqPQXVz/tff.jpg)
TFF wakubali Coutinho kuichezea Stars
9 years ago
Habarileo26 Aug
Stars kucheza na Libya keshokutwa Uturuki
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili juzi nchini Uturuki, imeendelea na mazoezi jana asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye Hoteli ya Green Park – Kartepe.