Coutinho alia, aomba... ulinzi
![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVSJaaWbSK7jn3D3xZxDMmCGw13QalGE-MyBLMp9b6YtHULpbeoitkn-8gh9MdaaAl-fWaY45nO7wqgGvzhDgb1/tinyo.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Wibert Molandi BAO la mita 20 alilolifunga kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, limempa jeuri na ujasiri wa kuahidi kufunga kila mechi atakayocheza kwenye Ligi Kuu Bara. Mbrazili huyo aliyetua kuichezea Yanga msimu huu wa ligi kuu kwa mkataba wa miaka miwili, alifunga bao lake a kwanza wakati timu yake ilipocheza na Prisons Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4wwoEk7SwLHQFm0XnDaO0Jdl04-8WHaouM2BkMLitEFqkHi-64jzuoq98MO7x0RuYNrj8NAiiJDI-9Jw5a9jBqX/tinyo.jpg)
Coutinho aomba kucheza Taifa Stars
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zymdIAt-u2-xGyZqiAdgH8NasVhlGvmxrkjhlOTn8SR4wtEFSEVQ9GqPwMSubfORqVxkD43EDKQsvMb4WpI61K/otilia.jpg)
OTILIA ALIA NA CHOCKY
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Mbunge wa Chadema alia
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Phiri alia na Waganda
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBvkbD1WKlIDxPLHUd710KXBBpsOUBywJAckvsF*89RpunGRDvtTIETQfUlw4D-YN08A*6lhzVWW6sdxHIVhtIV/FLORA.jpg?width=650)
FLORA ALIA NA VIBAKA
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Lundenga alia hujuma
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Samia alia na alama ‘V’
NA SARAH MOSSI, KOROGWE
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.
Samia, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.
“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.
Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRbA0zlSwWyp7nX-wvOgyJKorrxuSjjYERAhW8nuZH8NdsneIy64x1hNfihcbVw0cIrVL-lzdmoz4FXs2azJElM/tambwe.gif?width=650)
Tambwe amuonya Coutinho
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.