Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri alia na Waganda

Wakati Simba leo ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Jang’ombe leo, kKkocha Patrick Phiri amesema kuchelewa kwa nyota wake watatu Waganda kuna tibua mipango yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAGANDA WAMPONZA PHIRI, GORAN KUTUA LEO!!

Wachezaji wa Simba raia wa Kiganda ndio wamemponza kocha Mzambia Patrick Phiri kufungashiwa virago ndani ya klabu hiyo ya Msimbazi huku Mserbia Goran Kopunovic akitarajiwa kutua rasmi kesho Jumatano.
Habari za uhakika kutoka Simba zinasema kuwa uongozi wa klabu hiyo chini ya mwenyekiti wake Evans Aveva uliketi juzi usiku majira ya saa mbili na kikao kumalizika saa saba usiku kwa maazimio ya kumfukuza Phiri na jana jioni alikabidhiwa rasmi barua yake ya kuachishwa kazi na nafasi yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Waganda wakacha kambi Simba

Simba imeingia kambini Zanzibar jana bila ya nyota wake watatu Simon Sserunkuma, Juku Musheed na Emmanuel Okwi waliotimkia Uganda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri:Waganda wanapenda ngono mchana

Matamshi ya waziri wa maadili nchini Uganda kuwa Waganda wengi hujihusisha na vitendo vya kufanya mapenzi hasa wakati wa kipindi cha mlo wa mchana yamezua gumzo katika vyombo vya habari nchini humo na katika mitandao ya kijamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City sasa kuwavaa Waganda

Timu ya Mbeya City ya jijini hapa leo inatarajia kukipiga na Vipers kutoka Uganda katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Uwanja wa Sokoine.

 

10 years ago

GPL

NE-YO AWAAHIDI WAGANDA SHOO YA NGUVU LEO

Mwanamuziki Ne-Yo (katikati) wakati akiongea na wanahabari (hawapo pichani) jijini Kampala leo. STAA wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, Shaffer Chimere Smith, Ne-Yo amewaahidi wananchi wa Uganda shoo ya nguvu leo usiku. Ne-Yo na timu yake wakiwasili jijini Kampala jana usiku. Ne-Yo aliyetua nchini Uganda jana, anatarajia kufanya shoo ya nguvu leo katika Tamasha la Pop 'N Jam litakalofanyika jijini Kampala. Staa huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wa vitunguu Singida walia na Waganda, Wakenya

Wafanyabiashara wa vitunguu katika Soko la Misuna, Singida wameiomba Serikali kuwasaka na kuwakamata wafanyabiashara kutoka Kenya na Uganda wanaonunua zao hilo moja kwa moja kutoka kwa wakulima kwa madai kuwa wanawanyonya wakulima na kuikosesha halmashauri mapato.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waganda wapata vibali vya kazi Saudia

Mazungumzo yaliyofanywa kati ya Uganda na Saud Arabia, yametoa nafasi kwa raia wa Uganda kupata vibali vya kufanya kazi nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Azam kuwavaa Waganda Amaan leo

>Wawakilishi wa Tanzania, Azam na Simba leo watakuwa na kibarua kizito mbele ya timu za Uganda, URA  na KCC wakati wa mechi za nusu fainali za Kombe la Mapinduzi zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani