Waganda wapata vibali vya kazi Saudia
Mazungumzo yaliyofanywa kati ya Uganda na Saud Arabia, yametoa nafasi kwa raia wa Uganda kupata vibali vya kufanya kazi nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wageni 7,000 wapewa vibali vya kazi
SERIKALI imesema wageni 7,037 wamepatiwa vibali vya kazi kwa kuwa na sifa stahiki katika kipindi cha mwaka 2012/13. Hayo yalibainishwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Vibali vya kazi vifutwe: Arsene Wenger
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Nyota wa judo wapata vibali Madola
HATIMAYE nyota watatu wa mchezo wa judo ambao awali waliachwa nchini kutokana na majina yao kukosekana mjini Glasgow, wameondoka jana jioni kwa ndege ya Emirates kuelekea nchini Scotland kushiriki michezo...
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
9 years ago
Habarileo18 Oct
Vibali vya uwindaji vyasitishwa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.
10 years ago
Mtanzania08 Apr
vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same
NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘E-Immagration’ kurahisisha vibali vya uhamiaji
MFUMO wa ‘E-immagration’ unaelezwa kuwa utakuwa suluhu katika kutatua tatizo la kuchukua muda mrefu katika kushughulikia vibali vya wageni wanaotoka na kuingia nchini. Akizungumza na Tanzania Daima katika maonyesho ya...
11 years ago
Habarileo07 May
Vibali vya ajira sekta ya afya vyaongezeka
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Steven Kebwe amesema vibali vya ajira kwa wataalamu wa afya, vimekuwa vikiongezeka ili kutoa fursa ya kuongeza watumishi wanaotoa huduma ya afya.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Kampuni yahusishwa vibali vya utoroshaji wanyama
KAMPUNI ya HAM Marketing and Gumbo Enterprise ya jijini Arusha imetajwa kuhusika katika uombaji wa vibali vya kukamata wanyama hai 154, wakiwemo Twiga wanne waliotoroshwa kwenda uarabuni kupitia uwanja wa Kimataifa...