Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri:Waganda wanapenda ngono mchana

Matamshi ya waziri wa maadili nchini Uganda kuwa Waganda wengi hujihusisha na vitendo vya kufanya mapenzi hasa wakati wa kipindi cha mlo wa mchana yamezua gumzo katika vyombo vya habari nchini humo na katika mitandao ya kijamii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ngono mchana badala ya chakula

Baadhi ya wananchi wa Uganda wametoa maoni yao kufuatia kauli iliyotolewa na Waziri anayehusika na maadili nchini humo.

 

10 years ago

Mtanzania

Waziri Simba akiri ngono kukithiri shule za msingi

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba

SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), kuhusu wanafunzi wa shule za msingi kujihusisha na ngono una ukweli.

Simba ameyasema hayo baada ya gazeti hili kutoa taarifa kuhusu matokeo ya utafiti uliofanywa na MUHAS kupitia mradi wa PREPARE yaliyotolewa wiki iliyopita ili kubaini vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA WAZIRI WA UCHUKUZI OFISINI KWAKE LEO MCHANA

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akimsikiliza Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Hawa Ndilowe alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake. Waziri wa Uchukuzi na Balozi huyo wamejadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Uchukuzi na Balozi huyo aliipongeza Wizara kwa kutekeleza vyema miradi inayotekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa(BRN). Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akisisita jambo kwa Balozi wa Malawi, Hawa Ndilowe, alipomtembelea ofisini kwake leo mchana kujadili...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA WAZIRI WA UCHUKUZI OFISINI KWAKE LEO MCHANA

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akimsikiliza Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Hawa Ndilowe alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake. Waziri wa Uchukuzi na Balozi huyo wamejadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Uchukuzi na Balozi huyo aliipongeza Wizara kwa kutekeleza vyema miradi inayotekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa(BRN). Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akisisita jambo kwa Balozi wa Malawi, Hawa Ndilowe, alipomtembelea ofisini kwake leo mchana kujadili...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma...

 

10 years ago

GPL

WENGI WANAPENDA HARUSI KULIKO NDOA

NI Jumanne nyingine njema na inayompendeza Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake. Mimi niko mzima wa afya njema ndiyo maana namwagika tena kwenye safu hii. Mada yetu wiki iliyopita ilisema; Mwanamke wa kumuoa hana sifa ya kuwa mke. Wengi walinipigia simu wakipongeza, wengine wakinikandia kwamba si kweli. Akisha kuwa mpenzi anaweza kuwa mke na akaendelea kuwa mpenzi. Nilichobaini, kama mtu alisoma kwa umakini alinielewa vizuri, lakini...

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti: Watanzania wanapenda kubaki EAC

WANANCHI wanane kati ya 10 wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha, wananchi tisa kati ya 10 wanakubali uwepo ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA LEO MCHANA

Sehemu  ya wajumbe wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika Kitaifa mkoani Mtwara,leo mchana, wakisikiliza mada mbalimbali zinazohusu changamoto na mikakati ya kuboresha mazingira ya Usafiri wa Majini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akitoa shukrani zake kwa Ushirikiano unaoonyeshwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sekta ya Uchukuzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani