WENGI WANAPENDA HARUSI KULIKO NDOA

NI Jumanne nyingine njema na inayompendeza Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake. Mimi niko mzima wa afya njema ndiyo maana namwagika tena kwenye safu hii. Mada yetu wiki iliyopita ilisema; Mwanamke wa kumuoa hana sifa ya kuwa mke. Wengi walinipigia simu wakipongeza, wengine wakinikandia kwamba si kweli. Akisha kuwa mpenzi anaweza kuwa mke na akaendelea kuwa mpenzi. Nilichobaini, kama mtu alisoma kwa umakini alinielewa vizuri, lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo04 Nov
NDOA! WANAOTAKA KUTOKA NI WENGI KULIKO WANAOINGIA, SI KWELI!

NDOA ni mpango wa Muumba ulio wazi kabisa kwamba, wakati wa uumbaji wa Adam na Eva, ndiyo ndoa ya kwanza ilifungwa kwenye Bustani ya Eden.
Ndoa hiyo ilifungwa pale Mungu aliposema; ‘si vizuri kumwacha peke yake mtu huyu (Adam) tumfanyie msaidizi (Eva)’. Baada ya Mungu kumuumba Eva, akawaweka pamoja na kuwa mke na mume! MPANGO WA NDOA
Kwa hiyo kumbe, mpango wa ndoa kwa binadamu ni matakwa ya Mungu si ubunifu wa binadamu kama wengi wanavyofikiri.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msemo kwamba,...
11 years ago
GPL
NDOA! WANAOTAKA KUTOKA NI WENGI KULIKO WANAOINGIA, SI KWELI!
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
KELVIN NYOMARI: Watanzania wanapenda starehe kuliko kazi
KUTOKANA na taifa kukabiliwa na changamoto ya ajira, vijana wengi hujiingiza kwenye biashara ya mihadarati. Vijana wamekuwa wakitumiwa na baadhi ya vigogo kusafirisha dawa hizo za kulevya nje ya nchi,...
10 years ago
Bongo529 Oct
Soggy Doggy adai mashabiki wa sasa wanapenda ‘kutazama kuliko kusikiliza’
10 years ago
GPL
BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA
10 years ago
GPL
BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA
11 years ago
Bongo525 Aug
Jaguar aweka wazi ukweli wa picha za ‘harusi’ yake zilizowashtua wengi
11 years ago
Bongo523 Sep
Kwa Uingereza Alikiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond — Promota
10 years ago
GPL
JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI