Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA

Deogratius mongela
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa’ (28) mkazi wa Zogowale, Visiga mkoani Pwani, alijikuta katika wakati mgumu baada ya mwanamke aliyetaraji kumuoa, aliyetajwa kwa jina moja la Manka (20) kumzimia simu na kuingia mitini siku chache kabla ya ndoa yao, tukio lililotokea Mei 23, mwaka huu. Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa' anayedaiwa kutorokwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA

Stori: Deogratius Mongela na Shani Ramadhani My God! Bibi harusi mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Edna Sangawe (34), mkazi wa Mikocheni B jijini Dar anadaiwa kunyongwa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo-Juu, Dar, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Marehemu Edna Sangawe (34) enzi za uhai wake. ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Machi 31, mwaka huu muda wa saa 2:00 usiku,...

 

10 years ago

GPL

SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
KIMENUKA! Ikiwa ni siku moja tu kabla ya kufungwa kwa ndoa kati ya Zuhura Omari na Abdallah Salehe, katika hali isiyotarajiwa, mke mtarajiwa amekataa kushiriki tendo hilo la kheri licha ya taratibu zote kukamilika na kusababisha tafrani kubwa huko Buguruni Kwa Mnyamani jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Ndugu wakiwa hawana la kufanya baada ya binti huyo kugoma kuolewa. Tukio hilo...

 

9 years ago

Mwananchi

Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa

Bibi harusi amezua gumzo mjini hapa baada ya kutoweka saa tatu kabla ya kufunga ndoa ambayo sherehe yake iligharimu Sh7 milioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA

SHANI RAMADHANI AIBU ya mwaka! Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Tatu Ally  (26), mkazi wa Kongowe, Mbagala, Dar amejikuta akiifedhehesha familia yake kufuatia kutoroka kwa mumewe siku moja tu baada ta kufunga ndoa, Amani lina picha kamili. Mwanadada Tatu Ally anayedaiwa kutoroka baada ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungwa Aprili 4, mwaka huu Mbagala jijini Dar kisha bi harusi huyo kwenda kwa mumewe...

 

10 years ago

GPL

WENGI WANAPENDA HARUSI KULIKO NDOA

NI Jumanne nyingine njema na inayompendeza Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake. Mimi niko mzima wa afya njema ndiyo maana namwagika tena kwenye safu hii. Mada yetu wiki iliyopita ilisema; Mwanamke wa kumuoa hana sifa ya kuwa mke. Wengi walinipigia simu wakipongeza, wengine wakinikandia kwamba si kweli. Akisha kuwa mpenzi anaweza kuwa mke na akaendelea kuwa mpenzi. Nilichobaini, kama mtu alisoma kwa umakini alinielewa vizuri, lakini...

 

10 years ago

GPL

JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI

NIAlhamisi tena ambayo huwa nakutana na nyie wasomaji wangu ninaowapenda sana.Leo nataka kuzungumza na wanandoa. Ndiyo maana nimeanza kwa kusema hapo juu kuwa, ndoa isishikiliwe kama gauni la harusi. Katika ndoa kuna raha na karaha au shida. Kumbuka kuwa wewe mwanandoa uliapa utaishi na mwenzako katika maisha yote. Hicho kiapo ulikitoa kanisani au msikitini tena kwa kuulizwa mara tatu. Ndoa ni daraja. Kama zima unatakiwa kulivuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani