BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s72-c/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
9 years ago
StarTV23 Dec
Madiwani Sengerema wapinga ongezeko la gharama za matibabu ya papo kwa papo
Madiwani wilayani sengerema mkoani Mwanza wamepinga ongezeko la gharama ya matibabu ya papo kwa papo kutoka shilingi 1,500 hadi shilingi 3,000 kwa zahanati na shilingi 3000 katika kituo cha afya hadi shilingi 5,000 kwa madai kuwa haliendani na huduma inayotolewa.
Kukosekana kwa dawa za msingi, uhaba wa vifaa tiba, upungufu wa wauguzi na uchakavu wa miundo mbinu pia ni sababu ya kupinga ongezeko hilo.
Katika kikao cha kwanza cha madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Sengerema na Buchosa cha...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
MCL, Airtel sasa wazindua taarifa za papo kwa papo
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_5baAht6k4/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/12.png)
‘RAIS MTARAJIWA’ KANYE WEST NA MKEWE KIM WAHUDHURIA HARUSI YA BOSI WAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAKZ51fEXXMh1y3IoC9Vcqo4WtVx9nvp*9D809QmTAKvPwf6eKnwd4IosDCyT8s4FKkA8rUVajJ3EeKwj-zQYW3/BACKIJUMAA.jpg)
SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
11 years ago
MichuziMAMIA YA WANANCHI SOMANGA KILWA WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BURE,KAYA 70 ZAJIUNGA NA CHF PAPO KWA PAPO WAKIPOKEA MWENGE WA UHURU