Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

9 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aachwa kwa kufeli hisibati

Harusi moja imevunjika baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi la hisibati aliloulizwa na bi harusi

 

10 years ago

GPL

BWANA HARUSI AZIMIA MARA 3

HAMIDA HASSAN Nivigumu kuamini! Bwana harusi Abasi Khamis Abdallah amejikuta akizimia zaidi ya mara tatu baada ya kubaini kuwa, bi harusi, Fatuma Salum Omar aliyefunga naye ndoa ni mke wa mtu na ana watoto wanne, Amani lina mkasa kamili.
Tukio hilo la kihistoria lilijiri hivi karibuni, Kigamboni, Dar mara tu baada ya ndoa hiyo kufungwa msikitini ambapo wazazi wa bwana harusi ndiyo waliotonywa kuhusu siri hiyo. Bwana harusi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aaga akienda harusini

Watu 17 akiwemo bwana harusi wamekufa maji baada ya boti iliyokuwa imewababeba wageni waliokuwa wanakwenda kwa harusi yake kuzama

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Zawadi, uheshimiwa ni vya bwana na bibi harusi

Chereko chereko za harusi kwa kweli zinapendeza zaidi ukilinganisha na sherehe nyingine za kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani