Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stella Akijiandaa Kwa Harusi Yake

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

Michuzi

mdau ashukuru kwa kufanikishiwa harusi ya dada yake

Mdau mohammed Mgori (Mtarajiwa) anapenda kutoa shukurani kwa ndugu, jamaa, jirani na marafiki kwa kuweza kufanikisha kufanikisha Harusi ya dada yake Ashura Mgori iliyofanyika tarehe 27 March 2015. Anasema asanteni sana sana Allah awalipe kila Mmoja wenu.

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Harusi ya aina yake Misri

Bwana harusi mmoja nchini Misri aamua kuifanya siku yake ya harusi ifanane na matendo nusu ya Jihad John.

 

10 years ago

Bongo5

Jaguar aweka wazi ukweli wa picha za ‘harusi’ yake zilizowashtua wengi

Wiki iliyopita mwimbaji wa ‘Kioo’, Jaguar kutoka Kenya alitawala vichwa vingi vya habari nchini Kenya baada ya baadhi ya picha zake zikimuonesha yuko kanisani akitimiza moja ya hatua muhimu katika maisha ya mwanadamu (ndoa). Baadhi ya vichwa vya habari hiyo vilisomeka ‘Jaguar holds secret wedding in South Africa?’, ‘Jaguar weds in South Africa’. Hata hivyo […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.

Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani