Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mdau ashukuru kwa kufanikishiwa harusi ya dada yake

Mdau mohammed Mgori (Mtarajiwa) anapenda kutoa shukurani kwa ndugu, jamaa, jirani na marafiki kwa kuweza kufanikisha kufanikisha Harusi ya dada yake Ashura Mgori iliyofanyika tarehe 27 March 2015. Anasema asanteni sana sana Allah awalipe kila Mmoja wenu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

9 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughullikia Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) hivi majuzi imefanya sherehe za kumaliza kazi zake baada ya miaka 21 toka ilipoanzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sherehe hizo zilikuwa ni pamoja na mkutano mkubwa uliowaleta watu mashuhuri kutoka pande zote duniani na viongozi wa UN kutoka New York, na uzinduzi wa Bustani ya Amani -Peace Park - mjini Arusha.Mahakama hiyo iliwakamata na kuwahukumu watu wazito wa Rwanda 83 wakiwemo Mawaziri...

 

10 years ago

GPL

AKUTWA AKICHIMBIA MAYAI KWA DADA YAKE

Dustan Shekidele, Morogoro
KATIKA hali ya kushangaza mwanamke mmoja, Pili  Danji Mlapakalo amedaiwa kukutwa akifukia mayai viza kwenye dirisha la dada yake Hanifa Danji Mlapakalo kwenye nyumba wanayoishi iliyopo Mtaa wa Kisogo, Kata ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa. Pili  Danji Mlapakalo anayedaiwa kufukia mayai viza. Tukio hilo lilitokea Juni 15, mwaka huu saa 11 alfajiri na kusababisha vurugu kubwa kati ya Hanifa na...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

10 years ago

GPL

KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME

Na Makongoro Oging’/Uwazi
ALLY Issa anayeishi Mombasa nchini Kenya, anadaiwa kumtorosha dada yake Hasina Issa (22)  aliyekuwa akiishi na mumewe, Baraka Ally (32), Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea siku ya mkesha wa Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’. Hasina Issa siku ya harusi yake. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Ally alisema alitoa taarifa polisi...

 

9 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA


Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa  ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...

 

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE YAKE KIJIJINI CHATO LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani