Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

JAY Z AMFANYIA BEYONCE ‘SURPRISE’ KWENYE BETHIDEI YAKE

Beyonce katika pozi na Jay Z. New York, Marekani RAPA mwenye heshima ya muda wote kwenye gemu la Hip hop duniani, kutoka Marekani Shown Carter ‘Jay z’ hivi karibuni alimfanyia ‘surprise’ mkewe, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kwenye sherehe ya kuazimisha miaka 34 tangu azaliwe, kwa kumchagulia wimbo wa kuisindikiza furaha yake ambao hakuutegea kabisa. Beyonce akiwa na mwanaye Blue Ivy. Akizungumza na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

10 years ago

GPL

PETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ

Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.…

 

11 years ago

GPL

MONA AMFANYIA ‘SURPRISE’ BABA YAKE

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ juzi kati alimfanyia sapraizi ya kumpelekea keki baba yake wa kufikia Alex Humba Lumila ambaye ni mume wa mama yake Suzan Lewis ‘Natasha’ katika siku yake ya kuzaliwa. Staa wa filamu za Kibongo, Yvonne Sheryl  ‘Monalisa’ akilishwa keki na baba yake mzee Alex Humba Staa huyo alifanya kisherehe hicho cha...

 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN

Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond...

 

10 years ago

Vijimambo

SOPHIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWENYE MGAHAWA WA SAPHIRE NEW YORK

Sophia mkazi wa DMV akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya jiji la wasiolala.Sophia(kulia) akiwa na ndugu zake siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alipokua jiji la wasiolala kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.Sophia akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.  Sophia akipata picha ya pamoja na BahiaKutoka kushoto ni Issa, Farida,...

 

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…

Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa […]

The post Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]

The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani