ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN
Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ
10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...
9 years ago
GPLPETIT MAN AJITOSA KWA DADA WA KIBA
10 years ago
GPLDIAMOND AMKUBALI PETIT MAN