PETIT MAN AJITOSA KWA DADA WA KIBA

Petit Man Wakuache akiwa na dada wa Ali kiba. MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba, Zabibu Kiba kiasi cha kuzua minong’ono kwamba huenda alikuwa akimtongoza. Ubuyu huo ulinaswa moja kwa moja ndani ya Ukumbi wa Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo muda mwingi wawili hao walikuwa wakikaa pamoja na baadaye kila walipokwenda, walikwenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
PETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ
11 years ago
Vijimambo
ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN




10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.
Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha.
Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...
11 years ago
GPL
DIAMOND AMKUBALI PETIT MAN
10 years ago
GPL
PETIT MAN AMUANIKA MRITHI WA ESMA
10 years ago
GPL
PETIT MAN, ESMA MAHABA UPYAA
10 years ago
GPL
WEMA ADAIWA KUTIBUA NDOA YA PETIT MAN
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA
Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...
10 years ago
Michuzi
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !



Kwa picha zaidi BOFYA HAPA