PETIT MAN, ESMA MAHABA UPYAA

Esma Abdul akiwa na aliyekuwa mumewe Hamad Manungwa ‘Petit man’. Na Imelda Mtema Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe, Hamad Manungwa ‘Petit man’ baada ya kudaiwa kutengana, tena kwa talaka tatu. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mpashaji wetu alisema Esma na Petit kwa sasa wako katika mapenzi motomoto na hivi karibuni walionekana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
PETIT MAN AMUANIKA MRITHI WA ESMA
10 years ago
GPL
LULU MAHABA UPYAA
11 years ago
GPL
DIAMOND AMKUBALI PETIT MAN
11 years ago
GPL
PETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ
10 years ago
GPL
WEMA ADAIWA KUTIBUA NDOA YA PETIT MAN
9 years ago
GPL
PETIT MAN AJITOSA KWA DADA WA KIBA
11 years ago
Vijimambo
ANGALIA PICHA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AOLEWA NA PETIT MAN




10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.
Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha.
Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...
11 years ago
GPL
LULU KESI UPYAA