LULU MAHABA UPYAA
![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcLAhCjCsktJDbBljX*n1JjDgCMBOtMDnrfnSVaYkboR7AWEWvdWhCij1qrEIy87nQfIi4ZjU1Mmtbxt9trDPUBh/Lulu.gif?width=650)
Mwandishi wetu BAADA ya kujituliza kwa muda mrefu, staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametengeneza kichwa cha habari upya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kimahaba na mchekeshaji maarufu nchini, Stan Bakora kunaswa, Risasi Jumamosi lina mchapo kamili. Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na Stan Bakora. Tangu apate msala wa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22VRzmTcVo5VzYTH82BuWRjW5qZlsmyOHuBVjp2M7ZhFCFkziCchssC5oStD9ayCcg*sM3DKZA2eg-RaSCAZawU/esma4.jpg?width=650)
PETIT MAN, ESMA MAHABA UPYAA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGMk309P6UlVCCkT*mD8AQ0rygqocttingRKdSn17Z2kZkQ815G1OtZXuckLJHL3o8HfErQjK0pS8IIQBssipEW/Lulu.gif?width=650)
LULU ACHETUKA UPYAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLZeIvFAjKM1QyOAZXdWWLJ9aQS6Uw2Pwg8Q-TXfRaa-dTSkWOWQm6Fe8zua2qVOO97BstJspqaXpZFY3doeuS4/lulu.jpg?width=650)
LULU KESI UPYAA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyBac3zfF97oePOTEd-E0Akq1G4i-sApwgVjC3HsWaEq4DWlOly67kdMrN4gmL44XuXD6t357W6T2tkcRQ6iJ9/lungi.jpg)
LUNGI NA MAHABA NIUE
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Picha ya mahaba yawachongea polisi TZ
10 years ago
Habarileo20 Oct
RC- Picha ya 'mahaba' imelichafua jeshi
SERIKALI mkoani Kagera imewataka askari polisi mkoani humo kutumia mitandao ya kijamii kwa malengo yaliyokusudiwa na waanzilishi wake, badala ya kuigeuza mahala pa kuchafuana na pia kulichafua jeshi hilo.