Picha ya mahaba yawachongea polisi TZ
Jeshi la polisi nchini TZ limewafukuza kazi maafisa wake watatu kwa kosa la kupiga picha ya aibu na kuiweka kwenye mitandao ya kijamii.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi. Picha...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Picha ya mahaba yaponza Polisi 3, watimuliwa
ASKARI Polisi wawili ambao picha yao ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii katika mkao wa uhusiano wa kimapenzi, wamefukuzwa kazi. Picha hiyo ilionesha askari hao wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakiwa kwenye sare za jeshi hilo huku mwanamume akiwa amempakata wa kike wakipigana busu.
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa kazi
Hili ndio tukio lililosababisha kufukuzwa kazi wakiwa na sare za kazi.
Na Mwandishi wetu, Kagera
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi.
Picha hiyo ilianza kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii hivi karibuni zikionyesha askari hao wakiwa katika ‘mahaba’ huku wamevaa sare za Jeshi hilo.
Akitoa taarifa mbele ya wandishi wa habari mapema jana Oktoba...
10 years ago
Habarileo20 Oct
RC- Picha ya 'mahaba' imelichafua jeshi
SERIKALI mkoani Kagera imewataka askari polisi mkoani humo kutumia mitandao ya kijamii kwa malengo yaliyokusudiwa na waanzilishi wake, badala ya kuigeuza mahala pa kuchafuana na pia kulichafua jeshi hilo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqLZRPj2gj-TYV26gKS*MhT9T9CcCHUWGEGPgTvkDtyesZfqxuOdGPsG4XxW*y3ArWwrTApd*ThhSdQ9ECwHmfxS/breakingnews.gif)
TRAFIKI WA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Picha za mahaba za Nay Wa Mitego zazua balaa, ‘mkewe’ aondoka na mtoto nyumbani
Zile picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo,Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Edson ambaye baada ya kuziona aliamua kumchukua mtoto wake na kuondoka nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Kimara,jijini Dar.
Siwema akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa alipata mshtuko mkubwa sana baada ya kuziona picha hizo ambapo aliamua kuondoka nyumbani na mtoto wake mdogo.
‘’Kiukweli zile picha zilinishtua sana nilimuuliza Nay akaniambia ni...
9 years ago
Bongo521 Oct
Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020