LULU KESI UPYAA
Stori:RICHARD BUKOS KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Risasi Jumamosi limeambiwa. Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Akizungumza na gazeti...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLLULU ACHETUKA UPYAA
Musa mateja Msanii aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia fani ya uigizaji Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuchetuka upyaa licha ya hivi karibuni kudai kuwa amemrudia Mungu wake, Ijumaa lina mkanda mzima.Tujikumbushe kwanza  .....Soma zaidi====>http://bit.ly/1InnHVx
10 years ago
GPLLULU MAHABA UPYAA
Mwandishi wetu
BAADA ya kujituliza kwa muda mrefu, staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametengeneza kichwa cha habari upya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kimahaba na mchekeshaji maarufu nchini, Stan Bakora kunaswa, Risasi Jumamosi lina mchapo kamili. Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na Stan Bakora. Tangu apate msala wa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake,...
10 years ago
GPLKESI YA LULU YAWEKWA KIPORO
Stori: Musa Mateja
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko limetonywa. Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo makini, kuna uwezekano mkubwa wa kesi hiyo kusikilizwa tena Februari mwakani kutokana na mlolongo mkubwa wa...
11 years ago
GPLKESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI
Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...
11 years ago
GPLLULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba. Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni… ...
11 years ago
GPLKESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA
Stori: imelda Mtema na Mayasa Mariwata
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha. Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza...
11 years ago
GPLLULU ATINGA MAHAKAMA KUU DAR KUSIKILIZA KESI YAKE
Elizabeth Michael ‘Lulu’ . STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba! Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake… ...
11 years ago
Michuzimwenendo wa kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya lulu michael mahakama kuu jijini dar es salaam leo
MSANII wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), leo amekiri mahakamani kwamba siku ya tukio alikuwa na ugomvi na marehemu kabla ya kifo chake.
Kadhalika, alikiri kuwa walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba alikuwa na utamaduni wa kumtembelea marehemu Kanumba nyumbani kwake Sinza, jijini Dar es Salaam.
Lulu alitoa madai hayo leo wakati akisomewa maelezo ya awali baada ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania