Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU ACHETUKA UPYAA

Musa mateja Msanii aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia fani ya uigizaji Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuchetuka upyaa licha ya hivi karibuni kudai kuwa amemrudia Mungu wake, Ijumaa lina mkanda mzima.Tujikumbushe kwanza  .....Soma zaidi====>http://bit.ly/1InnHVx

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU KESI UPYAA

Stori:RICHARD BUKOS
KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Risasi Jumamosi limeambiwa. Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Akizungumza na gazeti...

 

10 years ago

GPL

LULU MAHABA UPYAA

Mwandishi wetu
BAADA ya kujituliza kwa muda mrefu, staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametengeneza kichwa cha habari upya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kimahaba na mchekeshaji maarufu nchini, Stan Bakora kunaswa, Risasi Jumamosi lina mchapo kamili. Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na Stan Bakora. Tangu apate msala wa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake,...

 

9 years ago

GPL

PETIT MAN, ESMA MAHABA UPYAA

Esma Abdul akiwa na aliyekuwa mumewe Hamad Manungwa ‘Petit man’. Na Imelda Mtema  Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe, Hamad Manungwa ‘Petit man’ baada ya kudaiwa kutengana, tena kwa talaka tatu. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mpashaji wetu alisema Esma na Petit kwa sasa wako katika mapenzi motomoto na hivi karibuni walionekana...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani