Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA LULU YAWEKWA KIPORO

Stori: Musa Mateja
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko limetonywa. Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo makini, kuna uwezekano mkubwa wa kesi hiyo kusikilizwa tena Februari mwakani kutokana na mlolongo mkubwa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Kadhi yawekwa kiporo

SUALA la Mahakama ya Kadhi limeleta mjadala mkali katika majadiliano na wabunge wameamua suala hilo lisiingizwe kwenye Katiba. Mjadala huo mkali uliibuka katika Kamati namba Saba ilipojadili sura ya Nne ya kwenye rasimu hiyo inayozungumzia juu ya uhuru wa imani ya dini ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Hassan Ngwilizi alisema baada ya mjadala mkali wamekubaliana kutoingizwa kwenye Katiba.

 

11 years ago

GPL

LULU KESI UPYAA

Stori:RICHARD BUKOS
KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Risasi Jumamosi limeambiwa. Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Akizungumza na gazeti...

 

11 years ago

GPL

LULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba. Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni… ...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI

Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA

Stori: imelda Mtema na Mayasa Mariwata
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha. Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza...

 

11 years ago

GPL

LULU ATINGA MAHAKAMA KUU DAR KUSIKILIZA KESI YAKE

Elizabeth Michael ‘Lulu’ . STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba! Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake… ...

 

11 years ago

Michuzi

mwenendo wa kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya lulu michael mahakama kuu jijini dar es salaam leo

MSANII wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), leo amekiri mahakamani kwamba siku ya tukio alikuwa na ugomvi na marehemu kabla ya kifo chake.  Kadhalika, alikiri kuwa walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kwamba alikuwa na utamaduni wa kumtembelea marehemu Kanumba nyumbani kwake Sinza, jijini Dar es Salaam. Lulu alitoa madai hayo leo wakati akisomewa maelezo ya awali baada ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tantrade yawekwa kitimoto

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC), imeipa saa 48 Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), kuwasilisha kadi za vyombo vya moto 11 vilivyobadishwa usajili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani