KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZFHUoLmNeq3N7Kyoehy96b7Dd1-r5I9uVOPLSQzUMLrcgl*LTkOL-6GQR6oeBtuy94APxz4TplY1c945*HbcgH/lulu.jpg?width=650)
Stori: imelda Mtema na Mayasa Mariwata STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha. Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb3-n4iZYB5fU5S0LXgaktnWrbTRVVMuvb*eVl7JQsG0bR60wD6tdajmA9NUqvCeelm0wr0QGok6dSISYoNu38Ay/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64qPf3IybNE29F9JsAQDwoaR3K78eMG7VQo-tQ8i5gc6pG*ShNYhLdT-MBMgJIFiKnWA*bploNjKjDBY8rSGbEih/kanumba.jpg)
KESI KIFO CHA KANUMBA, SURA MPYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JlEU3yxTIlmtr5mfaWP9qPJBv2dWwqmOQBf8E6FlBXAJbuQbXYbDhppQP8piDAM3YjINZdQ7lzddCupFUfUPIIj/makubwa.jpg?width=650)
MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema
Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.
Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika
bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04auER0aJ4RfICTByQDwumEIk51H44KFmmaQX4dVA1F-iaOm1liGBVWmhsQD-3UkFnJJDo7CAhFZ3RKiMTb4VwCu0/SETH.jpg?width=650)
SETH APOTEZA DIRA KIFO CHA KANUMBA
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014
MIAKA wiwili ya kifo cha nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, ilivyokuwa sivyo ilivyotarajiwa na wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii Wamepoteza Ajira
ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.
Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.
Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.
Lakini mwaka huu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmZDN*lXy2aHgyYWnmFuoTQiF9ENiotUmWXyoH*oH0DJF8XmNPENOMHQc1MkGCvsIq3le3MPYb7hUwwtABAF1sHU/rip_kanumba.jpg?width=650)
MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;
Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”
Lulu: “Siyo...