Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA

Marehemu Steven Kanumba. Flora Mvungi. Florah Mvungi
It has been 2 years since ututoke ndugu yetu,Mungu akupunguzie adhabu,tunakuombea na tunakukumbuka sana kwa mchango wako mkubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania,tunaadhimisha KANUMBA DAY leo tar 7 mwezi wa 4 kwa pamoja tutaenda kanisani temboni saa tatu asubuhi kisha makaburini na baadae dar live,karibuni sana tujumuike pamoja.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii Wamepoteza Ajira

ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.

Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.

Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.

Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.

Lakini mwaka huu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Miaka mitatu baada ya kifo cha Kanumba: Bongo movies ‘Will never be the same again’

Wakati mwingine kuna maswali magumu sana kuweza kuyajibu. Kwa mfano kwanini watu muhimu na wazuri hufa mapema? Kwanini watu wenye umuhimu mkubwa katika jamii huondoka ghafla tena katika wakati ambapo wapo kwenye kilele cha mafanikio yao?

Chukulia mfano Aaliyah, Tupac, Notorious BIG au Stephen Kanumba! Hili ni swali gumu sana kulijibu na hivyo mambo mengine ni ya kumwachia Mungu.

Leo ni April 7, miaka mitatu tangu kifo cha muigizaji mahiri, aliyependwa, aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu,...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 18 ya kifo cha Tupac wasanii mmejifunza nini?

Leo dunia nzima inaadhimisha miaka 18 ya kifo cha nguli wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kuitikisa dunia ya vijana kwa miaka isiyozidi minane akiwa kinara na kisha kuaga dunia kwa kupigwa risasi na mahasimu wake na kufariki dunia siku ya saba baada ya kupoteza damu nyingi.

 

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema

Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.

Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika

bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...

 

10 years ago

GPL

KESI KIFO CHA KANUMBA, SURA MPYA!

Stori: Shakoor Jongo Jipya! Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa kimyakimya, Ijumaa Wikienda limenasa kinachoendelea. Staa wa sinema za Kibongo, Lulu Elizabeth Michael, 'Lulu".
WATU WANATAKA KUJUA KINACHOENDELEA
Uchunguzi wa gazeti hili… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014

MIAKA wiwili ya kifo cha  nyota wa filamu nchini, Steven  Kanumba,  ilivyokuwa  sivyo ilivyotarajiwa na  wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...

 

11 years ago

GPL

SETH APOTEZA DIRA KIFO CHA KANUMBA

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefunguka kuwa marehemu kaka yake huyo amemchanganya kimaisha kwani kila kukicha hajui atafanya nini kwa siku nzima. Seth Bosco. Seth alisema, tangu Kanumba afariki akiamka asubuhi hajui anafanya nini kwa siku nzima tofauti na alivyokuwa hai walikuwa wakipanga ratiba ya siku hata kama wamerudi nyumbani usiku wa manane lazima wapange...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani