Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema

Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.

Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika

bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Dunia yaadhimisha Mandela Day ya kwanza tangu kifo chake

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96. Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati […]

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8

Aliyekuwa mwigizaji nguli wa filamu za bongo movies, Marehemu Steven Charles Kanumba "Kanumba" enzi za uhai wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipoanzisha uhusiano na mwigizaji ambaye wakati huo alikuwa kinda wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Uhusiano wao ulikuwa wa siri sana na watu wengi waliubaini pale Kanumba alipofariki.
ENDELEA... Mbali na kufanya vizuri katika anga la filamu, Kanumba...

 

11 years ago

CloudsFM

Dunia yaadhimisha Mandela Day kwa mara ya kwanza tangu kifo chake....

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.

Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati za kupigania uhuru za Mandela nchini Afrika Kusini. Mandela alifariki December 5 mwaka jana akiwa na miaka 95 kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Shughuli...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA

Stori: imelda Mtema na Mayasa Mariwata
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha. Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI

Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...

 

11 years ago

Bongo Movies

INASIKITISHA...!!! Wezi wamliza florah mvungi. Hichi ndicho walichomfanyia. tazama hapa

 

Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu.

 

‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani