Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8

Aliyekuwa mwigizaji nguli wa filamu za bongo movies, Marehemu Steven Charles Kanumba "Kanumba" enzi za uhai wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipoanzisha uhusiano na mwigizaji ambaye wakati huo alikuwa kinda wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Uhusiano wao ulikuwa wa siri sana na watu wengi waliubaini pale Kanumba alipofariki.
ENDELEA... Mbali na kufanya vizuri katika anga la filamu, Kanumba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema

Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.

Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika

bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...

 

11 years ago

GPL

WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA

Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo chake.

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AANZA KUJIFUNZA KUIGIZA - 2

WIKI iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA... Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Makala:Steven Kanumba Aanza Kujifunza Kuigiza-2

Wiki iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA...

Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo kwamba ipo siku Mungu atamuinua na kuwa juu lakini bahati...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3

WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipokuwa akijifunza kuigiza. Alikutana na dokta Nyoni ambaye alimfundisha mbinu mbalimbali huku pia akiwa amejiunga na kikundi cha Maigizo cha Kaole.
ENDELEA MWENYEWE... Kwenye Kundi la Kaole, Kanumba alikutana na msanii mkongwe Bi. Mwenda aliyekuwa akimjua vizuri mapito yake. Aliweza kumsaidia kwa kiasi kikubwa kumtetea kwa wakurugenzi hadi wakamkubali.Bi. Mwenda alimpa mawaidha ya sanaa...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AMWAGANA NA WEMA, AANZISHA UHUSIANO NA NARGIS MOHAMED -5

WIKI iliyopita tuliona jinsi hayati Kanumba alipokutana na mwigizaji Wema Sepetu na kuanzisha urafiki katika duka la samaki jijini Dar, taratibutaratibu wakaukoleza urafiki wao na baadaye wakawa wapenzi.
Mbali na kuwa wapenzi, Kanumba ambaye tayari alikuwa mwigizaji mkubwa, alimshawishi Wema awe mwigizaji kama yeye.SASA ENDELEA... Hapo ndipo penzi lao lilipozaliwa rasmi. Baada ya mkutano huo, siku zilizofuata walionekana kila...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AACHANA NA NARGIS MOHAMED, AJITOSA KWA SYLVIA SHALLY - 6

WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipomwagana na mlimbwende Nargis Mohamed kutokana na kikwazo cha dini. Yeye Mkristo wakati mwenzake ni Muislamu.
Mvutano mkubwa ulitokea baina ya wazazi wa wawili hao, hawakuweza kupata suluhu ya moja kwa moja. Kanumba na Nargis  wakaamua kuachana na kila mtu akawa na maisha yake.
SASA ENDELEA... Maisha ya kupiga kazi za sinema yaliendelea kwa Kanumba, mwaka 2006 alifanikiwa kuigiza...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZA SINEMA HARRISON FORD ANUSURIKA KIFO

HARRISON FORD ANUSURIKA KIFO Ndegevita iliyotumika kwenye vita kuu vya pili va Dunia aliyokua akiendesha mcheza sinema aliyejipatia umaarufu kwenye sinea ya Indiana Jones Harrison Ford halimanusra ichukue uhai wake baada ya ndege hiyo inayotumia injini moja kuzimika muda mfupi baada ya kupaa na kuangukia kwenye viwanja vya gofu California. Harrison Ford ni rubani mzoefu na wa siku nyingi japo pia hapo nyuma alishapata ajali ya helkopa ilipoanguka baada ya kupata itilafu kwenye ingini. Katika...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17

Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia, iliyotolewa na Mahakama Kuu kwa kanda hiyo, kesi ya Lulu itasikiliza mbele ya Jaji Rose Teemba na mshtakiwa atajibu mashitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani