STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3
![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfKYI7dZOjpO9vP6vaYUkvnXZxAJ8oDIjfHflbHcKxsgsEj4mnwyIWarINuwO5k2MWHTWvzarxQ5vOGLsAOlV9T/kanumba.jpg?width=650)
WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipokuwa akijifunza kuigiza. Alikutana na dokta Nyoni ambaye alimfundisha mbinu mbalimbali huku pia akiwa amejiunga na kikundi cha Maigizo cha Kaole. ENDELEA MWENYEWE... Kwenye Kundi la Kaole, Kanumba alikutana na msanii mkongwe Bi. Mwenda aliyekuwa akimjua vizuri mapito yake. Aliweza kumsaidia kwa kiasi kikubwa kumtetea kwa wakurugenzi hadi wakamkubali.Bi. Mwenda alimpa mawaidha ya sanaa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s72-c/images+(1).jpg)
news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17
![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s1600/images+(1).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYJFRC2aQZFw5KLjZV13DGLVU4hI-fslY3ihG6Ntvsstk*QP9wD8Jn3E2C*enlMscOBL7M5GjSqh-47BUPMQ7PS/kanumbaday.jpg)
WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH83LSMytZ*wey3DBWVA9oHs1zwir4b0rqMKeYK9PNIbfH1kmbJGU0*hHYfLMI6tsLrgfiooWaEw3dkkLvrR54kr/StevenKanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AANZA KUJIFUNZA KUIGIZA - 2
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Makala:Steven Kanumba Aanza Kujifunza Kuigiza-2
Wiki iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA...
Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo kwamba ipo siku Mungu atamuinua na kuwa juu lakini bahati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuKmSC9PYS9Dx62DU2qCWR*Mx3vizkQsYty-qKzuLrwy-XrXvp*zq6*iB*C5PE5aB8*rMWTRYrUSsoggpjBY9-3y/stevekanumbanandoshotelurbanpulse.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq8JaxeZNM6uxIh0w07EXCMUi84o1TtjHgD5HDzinRlAyQYvI7SXr3*LRY5bKrgRdnfKJwZ6T4XPuX0sqGRYF6gn/Kanumba3.gif)
STEVEN KANUMBA AMWAGANA NA WEMA, AANZISHA UHUSIANO NA NARGIS MOHAMED -5
10 years ago
GPLSTEVEN KANUMBA AACHANA NA NARGIS MOHAMED, AJITOSA KWA SYLVIA SHALLY - 6
10 years ago
Bongo Movies03 May
Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu, Steven Nyerere
Saaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke wa pili au?? Yaan mkeo anavyokupenda!!! Sehemu zote muhimu au outing badala ya kutoka na mkeo unatoka na huyo....jana mliman city pia mlikuwa wote...sasa kama vipi tutambulishane otherwise wanawake tutaandamana!! Ole wako useme ni movie..... .projects .BongoMovies!!!
@sengomatilda 1. Steve ni mume wa mtu! 2. Familia yake inamuhitaji! 3. Mkewe hayuko tayari kuvunja ndoa yake 4.Wewe ni mrembo unastahili upate wako 5. Steve ana maneno matamu ya...
10 years ago
Habarileo28 Aug
Mhasibu adaiwa kuiba mil. 48/-
MHASIBU wa Kampuni ya Afro Impex Limited, Paul Tarimo (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu mashitaka ya wizi.