Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA

Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo chake.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AANZA KUJIFUNZA KUIGIZA - 2

WIKI iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA... Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Makala:Steven Kanumba Aanza Kujifunza Kuigiza-2

Wiki iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA...

Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo kwamba ipo siku Mungu atamuinua na kuwa juu lakini bahati...

 

10 years ago

Bongo5

Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba

Flora Mtegoa, Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na wasanii wa filamu pamoja wa wadau wa filamu kushindwa kwenda kumuunga mkono katika shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Kanumba ‘The Great Fallen Tree’, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Landmark Hotel, Dar-es-salaam January 10. Akizungumza kwa majonzi kwenye Take One Show ya Clouds Tv, Mama […]

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8

Aliyekuwa mwigizaji nguli wa filamu za bongo movies, Marehemu Steven Charles Kanumba "Kanumba" enzi za uhai wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipoanzisha uhusiano na mwigizaji ambaye wakati huo alikuwa kinda wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Uhusiano wao ulikuwa wa siri sana na watu wengi waliubaini pale Kanumba alipofariki.
ENDELEA... Mbali na kufanya vizuri katika anga la filamu, Kanumba...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3

WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipokuwa akijifunza kuigiza. Alikutana na dokta Nyoni ambaye alimfundisha mbinu mbalimbali huku pia akiwa amejiunga na kikundi cha Maigizo cha Kaole.
ENDELEA MWENYEWE... Kwenye Kundi la Kaole, Kanumba alikutana na msanii mkongwe Bi. Mwenda aliyekuwa akimjua vizuri mapito yake. Aliweza kumsaidia kwa kiasi kikubwa kumtetea kwa wakurugenzi hadi wakamkubali.Bi. Mwenda alimpa mawaidha ya sanaa...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AMWAGANA NA WEMA, AANZISHA UHUSIANO NA NARGIS MOHAMED -5

WIKI iliyopita tuliona jinsi hayati Kanumba alipokutana na mwigizaji Wema Sepetu na kuanzisha urafiki katika duka la samaki jijini Dar, taratibutaratibu wakaukoleza urafiki wao na baadaye wakawa wapenzi.
Mbali na kuwa wapenzi, Kanumba ambaye tayari alikuwa mwigizaji mkubwa, alimshawishi Wema awe mwigizaji kama yeye.SASA ENDELEA... Hapo ndipo penzi lao lilipozaliwa rasmi. Baada ya mkutano huo, siku zilizofuata walionekana kila...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AACHANA NA NARGIS MOHAMED, AJITOSA KWA SYLVIA SHALLY - 6

WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipomwagana na mlimbwende Nargis Mohamed kutokana na kikwazo cha dini. Yeye Mkristo wakati mwenzake ni Muislamu.
Mvutano mkubwa ulitokea baina ya wazazi wa wawili hao, hawakuweza kupata suluhu ya moja kwa moja. Kanumba na Nargis  wakaamua kuachana na kila mtu akawa na maisha yake.
SASA ENDELEA... Maisha ya kupiga kazi za sinema yaliendelea kwa Kanumba, mwaka 2006 alifanikiwa kuigiza...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO FLAVA WAMKUMBUKA MEZ B KWENYE BONANZA LA PSPF

Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Bongo Flava, Shilole na wacheza show wake, wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka msanii mwenzao wa Bongo Flava, Mez B, mzaliwa wa Dodoma, wakati wa bonanza lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Februari 20, 2015. Bonanza hilo lilipambwa na michezo mbalimbali kama vile, soka, netibole, voliboli na muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiongozwa na balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto wa Mjomba band. Wasanii ...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17

Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia, iliyotolewa na Mahakama Kuu kwa kanda hiyo, kesi ya Lulu itasikiliza mbele ya Jaji Rose Teemba na mshtakiwa atajibu mashitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani