STEVEN KANUMBA AMWAGANA NA WEMA, AANZISHA UHUSIANO NA NARGIS MOHAMED -5
![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq8JaxeZNM6uxIh0w07EXCMUi84o1TtjHgD5HDzinRlAyQYvI7SXr3*LRY5bKrgRdnfKJwZ6T4XPuX0sqGRYF6gn/Kanumba3.gif)
WIKI iliyopita tuliona jinsi hayati Kanumba alipokutana na mwigizaji Wema Sepetu na kuanzisha urafiki katika duka la samaki jijini Dar, taratibutaratibu wakaukoleza urafiki wao na baadaye wakawa wapenzi. Mbali na kuwa wapenzi, Kanumba ambaye tayari alikuwa mwigizaji mkubwa, alimshawishi Wema awe mwigizaji kama yeye.SASA ENDELEA... Hapo ndipo penzi lao lilipozaliwa rasmi. Baada ya mkutano huo, siku zilizofuata walionekana kila...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSTEVEN KANUMBA AACHANA NA NARGIS MOHAMED, AJITOSA KWA SYLVIA SHALLY - 6
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYJFRC2aQZFw5KLjZV13DGLVU4hI-fslY3ihG6Ntvsstk*QP9wD8Jn3E2C*enlMscOBL7M5GjSqh-47BUPMQ7PS/kanumbaday.jpg)
WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH83LSMytZ*wey3DBWVA9oHs1zwir4b0rqMKeYK9PNIbfH1kmbJGU0*hHYfLMI6tsLrgfiooWaEw3dkkLvrR54kr/StevenKanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AANZA KUJIFUNZA KUIGIZA - 2
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Makala:Steven Kanumba Aanza Kujifunza Kuigiza-2
Wiki iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA...
Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo kwamba ipo siku Mungu atamuinua na kuwa juu lakini bahati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuKmSC9PYS9Dx62DU2qCWR*Mx3vizkQsYty-qKzuLrwy-XrXvp*zq6*iB*C5PE5aB8*rMWTRYrUSsoggpjBY9-3y/stevekanumbanandoshotelurbanpulse.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfKYI7dZOjpO9vP6vaYUkvnXZxAJ8oDIjfHflbHcKxsgsEj4mnwyIWarINuwO5k2MWHTWvzarxQ5vOGLsAOlV9T/kanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s72-c/images+(1).jpg)
news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17
![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s1600/images+(1).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hlqj74NT58U/VZFC3dr_CbI/AAAAAAAHllI/e32gFevTI_A/s72-c/images.jpg)
DK. ALI MOHAMED SHEIN AMESEMA KUWA KENYA NA TANZANIA NI NCHI ZENYE UHUSIANO WA MUDA MREFU
![](http://1.bp.blogspot.com/-hlqj74NT58U/VZFC3dr_CbI/AAAAAAAHllI/e32gFevTI_A/s1600/images.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha na kuitekeleza Sera ya Demokrasia ya Uchumi kwa manufaa ya pande mbili hizo.
Dk. Shein...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0Yu*DaJ-02s1OCpqnOrTQq8e-gY9abQ4kHqUg5C7u3yc25oRPptus1qEYC4bG-5vBvPfc*3l1LndFTQw9yrzCLYb/MAMAKANUMBA.jpg?width=650)
MAMA KANUMBA AMBARIKI WEMA