STEVEN KANUMBA AACHANA NA NARGIS MOHAMED, AJITOSA KWA SYLVIA SHALLY - 6
WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipomwagana na mlimbwende Nargis Mohamed kutokana na kikwazo cha dini. Yeye Mkristo wakati mwenzake ni Muislamu. Mvutano mkubwa ulitokea baina ya wazazi wa wawili hao, hawakuweza kupata suluhu ya moja kwa moja. Kanumba na Nargis wakaamua kuachana na kila mtu akawa na maisha yake. SASA ENDELEA... Maisha ya kupiga kazi za sinema yaliendelea kwa Kanumba, mwaka 2006 alifanikiwa kuigiza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq8JaxeZNM6uxIh0w07EXCMUi84o1TtjHgD5HDzinRlAyQYvI7SXr3*LRY5bKrgRdnfKJwZ6T4XPuX0sqGRYF6gn/Kanumba3.gif)
STEVEN KANUMBA AMWAGANA NA WEMA, AANZISHA UHUSIANO NA NARGIS MOHAMED -5
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmYJFRC2aQZFw5KLjZV13DGLVU4hI-fslY3ihG6Ntvsstk*QP9wD8Jn3E2C*enlMscOBL7M5GjSqh-47BUPMQ7PS/kanumbaday.jpg)
WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH83LSMytZ*wey3DBWVA9oHs1zwir4b0rqMKeYK9PNIbfH1kmbJGU0*hHYfLMI6tsLrgfiooWaEw3dkkLvrR54kr/StevenKanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AANZA KUJIFUNZA KUIGIZA - 2
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Makala:Steven Kanumba Aanza Kujifunza Kuigiza-2
Wiki iliyopita tuliona jinsi Kanumba alivyokutana na mrembo na kumtongoza kipindi alichokuwa kijijini Shinyanga.Binti huyo alimkatalia Kanumba kutokana na hali yake mbaya ya kiuchumi aliyokuwa nayo. Kwa kuwa Kanumba alikuwa na mapenzi ya dhati na binti huyo, aliendelea kumsisitiza kila wakati kuhakikisha ndoto ya kuwa mpenzi wake inatimia.
SASA ENDELEA...
Kanumba hakukata tamaa, alizidi kumsisitiza na kumpa matumaini binti huyo kwamba ipo siku Mungu atamuinua na kuwa juu lakini bahati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfKYI7dZOjpO9vP6vaYUkvnXZxAJ8oDIjfHflbHcKxsgsEj4mnwyIWarINuwO5k2MWHTWvzarxQ5vOGLsAOlV9T/kanumba.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA ADAIWA KUIBA SIMU YA MSANII MAZOEZINI -3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuKmSC9PYS9Dx62DU2qCWR*Mx3vizkQsYty-qKzuLrwy-XrXvp*zq6*iB*C5PE5aB8*rMWTRYrUSsoggpjBY9-3y/stevekanumbanandoshotelurbanpulse.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s72-c/images+(1).jpg)
news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17
![](http://4.bp.blogspot.com/-07_VvBwvhNk/UvTla-H8mkI/AAAAAAAFLmg/FhphMw_rlxU/s1600/images+(1).jpg)
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Libj3OwXRSU/XutZuZrz6iI/AAAAAAABMfQ/622pzjw7HuYoYomX-THjQeUXsDo_V7cwgCLcBGAsYHQ/s72-c/MMM.jpeg)
MOHAMED HIJA MOHAMED ACHUKA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-Libj3OwXRSU/XutZuZrz6iI/AAAAAAABMfQ/622pzjw7HuYoYomX-THjQeUXsDo_V7cwgCLcBGAsYHQ/s400/MMM.jpeg)