Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOHAMED HIJA MOHAMED ACHUKA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India Mohamed Hija Mohammed, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa mtu wa 8 kuchukua fomu.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DK HUSSEIN MWINYI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM ZANZIBAR

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, katika Serikali ya Awamu ya Tano, Dkt. Hussein Mwinyi akichukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

 

5 years ago

CCM Blog

SHAMSHI VUAI NAHODHA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe agombee urais Zanzibar wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

NDEREMO ZATAWALA WAKATI Dk.Ali Mohamed Shein AKICHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa Fomu hizo katiuka Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama wa CCM waliofika Viwanja vya Jengo la Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo  wakati alipofika kuchukua fomu kuomba ridhaa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

5 years ago

CCM Blog

BALOZI KARUME ACHUKUA FOMU KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais wa visiwa hivyo kupitia CCM. Amesema akiteuliwa ataendeleza mazuri yaliyofanywa na watangulizi, ikiwemo kuimarisha muungano.

 

5 years ago

CCM Blog

HAJI RASHID PANDU ACHUKUWA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Rashid Pandu akikabidhi fedha kwa ajili ya uchuaji wa Fomu ya Urais akimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, alipofika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. akitokea Kijiji cha Bambi ni Mkulima.





 

5 years ago

CCM Blog

MEJA JENERALI MSTAAFU, ISSA SULEIMAN NASSOR ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Katibu wa Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor. hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu uliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 18-6-2020.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani