Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

9 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Vuga Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar.Wanachama wa Chama cha TADEA Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wakati akiwasili katika viwanja vya Vuga kwa ajili ya kuaza Kampeni yake katika Jimbo la Malindi Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya vuga...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM, BALOZI AMINA ALI SALIM AZUNGUMZA NA WANAHABARI ZANZIBAR

Mgombea Nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Balozi Amina Ali Salim akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar kuhusiana na Nia yake ya kugombea nafasi hiyo na majukumu atakayoyatekeleza endapo atapata ridhaa ya Chama chake kumteuwa kugombea nafasi hiyo.Balozi Amani akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar leo asubuhi.
 Waandishi wakifuatilia mkutano wao na Balozi Amina akizungumzia malengo yake.

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11, 2015 Ofisi kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani