Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Vuga Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar.Wanachama wa Chama cha TADEA Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wakati akiwasili katika viwanja vya Vuga kwa ajili ya kuaza Kampeni yake katika Jimbo la Malindi Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya vuga...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM, BALOZI AMINA ALI SALIM AZUNGUMZA NA WANAHABARI ZANZIBAR

Mgombea Nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Balozi Amina Ali Salim akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar kuhusiana na Nia yake ya kugombea nafasi hiyo na majukumu atakayoyatekeleza endapo atapata ridhaa ya Chama chake kumteuwa kugombea nafasi hiyo.Balozi Amani akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar leo asubuhi.
 Waandishi wakifuatilia mkutano wao na Balozi Amina akizungumzia malengo yake.

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE HASHIM RUNGWE MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHAUMMA

HISTORIA YAKE

Hashim Rungwe Spunda, ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania akifanya kazi zake kama wakili binafsi. Alizaliwa tarehe 01 Januari 1949 katika eneo la Ujiji, mkoani Kigoma (Ametimiza miaka 66 mwezi Januari mwaka huu).

Hashim alianza elimu ya msingi katika shule ya msingi Kipampa iliyoko mkoani Kigoma kati ya mwaka 1959 – 1966 na akajiunga na masomo ya sekondari katika Shule ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha Cambridge kati ya mwaka 1967 – 1969 na kuhitimu kidato cha nne, kabla ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE MGOMBEA URAIS ANNA MGHWIRA KUPITIA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO

Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56). Baba mzazi wa Anna alikuwa diwani na kiongozi wa Tanu kabla ya CCM hadi mwaka 1985, mama yake alijishughulisha na kilimo na ufugaji na wazazi hawa kwa ujumla walipata watoto tisa, akiwamo Anna.

Mgwira alianza safari ya kielimu katika Shule ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) chamtangaza mgombea wa Urais Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Zanzibar (CHAUMMA) Faki Salum Abdalla akitoa salamu za Chama hicho wakati wa Mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) wa kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zabnzibar.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mgombea nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia CHAUMMA katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.Katibu Mkuu wa CHAUMMA...

 

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU

Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa

Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015

Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu

Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani