Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAJI RASHID PANDU ACHUKUWA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Rashid Pandu akikabidhi fedha kwa ajili ya uchuaji wa Fomu ya Urais akimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, alipofika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. akitokea Kijiji cha Bambi ni Mkulima.





CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BALOZI KARUME ACHUKUA FOMU KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais wa visiwa hivyo kupitia CCM. Amesema akiteuliwa ataendeleza mazuri yaliyofanywa na watangulizi, ikiwemo kuimarisha muungano.

 

5 years ago

CCM Blog

DK HUSSEIN MWINYI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM ZANZIBAR

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, katika Serikali ya Awamu ya Tano, Dkt. Hussein Mwinyi akichukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

 

5 years ago

CCM Blog

SHAMSHI VUAI NAHODHA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe agombee urais Zanzibar wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

MEJA JENERALI MSTAAFU, ISSA SULEIMAN NASSOR ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Katibu wa Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor. hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu uliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 18-6-2020.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kuchukuwa   fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni mkewe mama Tunu PindaSehemu ya wageni wakimsikiliza Mhe Pinda  wakati alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi...

 

10 years ago

Vijimambo

AFISA UHAMIAJI ZANZIBAR, MAHAFOUDH ABDALLAH ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA NAFSAI YA UWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MTIA nia ya kuwania nafsi ya uwakilishi jimbo la Magomeni Mahfudhi Abdalla Mohammed(kushoto)akilipia fedha za fomu hiyo. Kaimu katibu msaidzi wa CCM wilaya ya Amani Asha Mzee (kulia) akimkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Uwakilishi.Mtia nia Mahafoudh Abdalla akionesha fomu hiyo.baada ya kupokea fomu.Baadhi ya wanachma wengine waliojitokeza kuch ukuwa fomu wakionesha fomu zao.(Picha na Ameir Khalid) 

 

5 years ago

CCM Blog

MOHAMED HIJA MOHAMED ACHUKA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India Mohamed Hija Mohammed, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa mtu wa 8 kuchukua fomu.

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWSSSSSS: MWENYEKITI WA CCM, RAIS MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUWANIA URAIS

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. John Magufuli akipokea fomu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally za kuomba kuwania urais kupitia chama hicho. Tukio hilo limefanyika leo asubuhi MMakao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma

 

5 years ago

CCM Blog

DK HUSSEIN MWINYI ARUDISHA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

 Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leoKatibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi am,bayo tayari imeshajazwa leo Afis Kuu ya CCM Kisiwandui
 Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani