MCHEZA SINEMA HARRISON FORD ANUSURIKA KIFO
![](http://3.bp.blogspot.com/-vv5UBqbj_WU/VPmroJ9SUHI/AAAAAAADbkU/MGQMdwDNBPI/s72-c/star-wars-vii-harrison-ford-rumored-to-be-officially-back.jpg)
HARRISON FORD ANUSURIKA KIFO
Ndegevita iliyotumika kwenye vita kuu vya pili va Dunia aliyokua akiendesha mcheza sinema aliyejipatia umaarufu kwenye sinea ya Indiana Jones Harrison Ford halimanusra ichukue uhai wake baada ya ndege hiyo inayotumia injini moja kuzimika muda mfupi baada ya kupaa na kuangukia kwenye viwanja vya gofu California. Harrison Ford ni rubani mzoefu na wa siku nyingi japo pia hapo nyuma alishapata ajali ya helkopa ilipoanguka baada ya kupata itilafu kwenye ingini. Katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Mcheza sinema wa kenya lupita nyong’o, mfano wa haiba ya kiafrika
10 years ago
VijimamboMCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI CHARLES MAGALI ATEMBELEA KILIMANJARO STUDIO, WASHINGTON, DC.
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet08 Mar
Harrison Ford and Calista Flockhart Reveal the Secret to Their Nearly 20-Year Marriage
5 years ago
CinemaBlend16 Feb
Harrison Ford Says Indiana Jones 5 Resolves Part Of Indy's History
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuKmSC9PYS9Dx62DU2qCWR*Mx3vizkQsYty-qKzuLrwy-XrXvp*zq6*iB*C5PE5aB8*rMWTRYrUSsoggpjBY9-3y/stevekanumbanandoshotelurbanpulse.jpg?width=650)
STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMvbjqO9ikayxyhkFlpUsFWWvI4dwIoFrr8zgIAJIHoxvu4sdrX4OfB8ili-oe*tEnuukJodGgoEuhImI7E1BOQ/msung.gif?width=650)
MSUNGU ANUSURIKA KIFO
11 years ago
Habarileo14 Dec
Lowassa anusurika kifo
ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.
10 years ago
GPLMAMA ANUSURIKA KIFO