MSUNGU ANUSURIKA KIFO

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya. Msanii wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’. Akipiga stori na gazeti hili, Msungu alisema anamshukuru Mungu kwani ungekuta sasa hivi ni maiti kwani ajali ilikuwa ni mbaya maeneo ya Bondeni, jijini Dar akielekea nyumbani kwake Tegeta ambapo gari lake...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLANUSURIKA KIFO UBUNGO
11 years ago
GPLMAMA ANUSURIKA KIFO
11 years ago
Habarileo14 Dec
Lowassa anusurika kifo
ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Mbowe anusurika kifo ajalini
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka jijini Mwanza kwenda wilayani Ngara, Kagera kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana...
11 years ago
GPL24 Mar
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Al-Shabaab:Gavana anusurika kifo Kenya
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Dk.Bisimba anusurika kifo, avunjika mguu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.
Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja la Salender Dar es Salaam jana.
Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi wakati akitoka kusali eneo la Posta akitumia gari dogo ya Toyota Prado namba T 159...
9 years ago
Habarileo09 Nov
Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.