Dk.Bisimba anusurika kifo, avunjika mguu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.
Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja la Salender Dar es Salaam jana.
Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi wakati akitoka kusali eneo la Posta akitumia gari dogo ya Toyota Prado namba T 159...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Nov
Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPLAGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU
11 years ago
Habarileo09 Jan
Askari avunjika mguu akipambana na majangili
ASKARI wa Wanyamapori katika Pori la Akiba la Ugalla mkoani hapa, amejeruhiwa wakati yeye na wenzake wakikabiliana na majangili.
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Baby Madaha aanguka chooni, avunjika mguu
Msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha akiwa na P.O.P mguuni.
Musa mateja
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na kuvunjika mguu wa kulia, Amani lina taarifa zote.
Tukio hilo lilitokea nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar ambapo staa huyo alitoka kwenye matembezi yake usiku wa manane akiwa amepiga ‘mtungi’ wa kutosha.
Inadaiwa kuwa, alipofika kwake alihitaji kwenda bafuni kuoga. Hata hivyo, alianzia chooni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRASpw4h96jXJiVAdBwIB8jQ8ydX*qqWHCW7xTlpYbD2lUAlX*LTC2FHRNaeGAH51FzotJwgUy7ZHaKRyhLdSHQo1/ajali1.jpg?width=650)
BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO
11 years ago
GPL02 Aug
10 years ago
GPLANUSURIKA KIFO UBUNGO
10 years ago
GPLMAMA ANUSURIKA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMvbjqO9ikayxyhkFlpUsFWWvI4dwIoFrr8zgIAJIHoxvu4sdrX4OfB8ili-oe*tEnuukJodGgoEuhImI7E1BOQ/msung.gif?width=650)
MSUNGU ANUSURIKA KIFO