Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari avunjika mguu akipambana na majangili

ASKARI wa Wanyamapori katika Pori la Akiba la Ugalla mkoani hapa, amejeruhiwa wakati yeye na wenzake wakikabiliana na majangili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU

Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge. Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.…

 

9 years ago

Mtanzania

Dk.Bisimba anusurika kifo, avunjika mguu

Pg 1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.

Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja  la Salender   Dar es Salaam jana.

Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.

Ajali hiyo ilitokea  jana asubuhi wakati   akitoka kusali eneo la Posta   akitumia gari dogo   ya Toyota Prado   namba   T 159...

 

9 years ago

Global Publishers

Baby Madaha aanguka chooni, avunjika mguu

IMG_8153Msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha akiwa na  P.O.P mguuni.

Musa mateja
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na kuvunjika mguu wa kulia, Amani lina taarifa zote.

Tukio hilo lilitokea nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar ambapo staa huyo alitoka kwenye matembezi yake usiku wa manane akiwa amepiga ‘mtungi’ wa kutosha.

Inadaiwa kuwa, alipofika kwake alihitaji kwenda bafuni kuoga. Hata hivyo, alianzia chooni...

 

11 years ago

GPL

BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO

Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari. Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari. Gari aina ya…

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

10 years ago

GPL

Huku akipambana Tunisia majambazi waiba gari...

Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi, wameiba gari la kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’, aina ya Toyota Carina SI lenye namba za usajili T 224 CXR. Akizungumza na Championi Jumatano, Barthez alisema kuwa gari hilo liliibiwa usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita wakati yeye akiwa safarini akielekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa...

 

11 years ago

GPL

MSANII KAOLE AVUNJIKA MGONGO

Stori: Hamida Hassan
MSANII wa Kundi la Kaole Sanaa, Zaina Ramadhan ‘Nandi’ anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa akidai kuvunjika pingili za mgongo kisha kushindwa kutembea na kufanya kazi zake za sanaa na nyinginezo. Zaina Ramadhan ‘Nandi’. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Nandi alisema kuwa alianza kuumwa baada ya kupata hitilafu mwaka 2012 alipokuwa akitoka Chuo cha Sanaa pale Lego,...

 

10 years ago

BBCSwahili

George HW Bush avunjika shingo

Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani