MSANII KAOLE AVUNJIKA MGONGO
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2KhDjiu-wQ6bUSBICJSsHvqvPFiOpFDjbY0tnDjt3yEjGaXa47PejWljyaOIKQdMPiW65YZ3yGEXZRf0CF*RYLv/msanii.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan MSANII wa Kundi la Kaole Sanaa, Zaina Ramadhan ‘Nandi’ anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa akidai kuvunjika pingili za mgongo kisha kushindwa kutembea na kufanya kazi zake za sanaa na nyinginezo. Zaina Ramadhan ‘Nandi’. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Nandi alisema kuwa alianza kuumwa baada ya kupata hitilafu mwaka 2012 alipokuwa akitoka Chuo cha Sanaa pale Lego,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TAwaEl4B-eI/VNc5jE1QaPI/AAAAAAAHCc0/0H0fIZXcqhc/s72-c/IMG20150207WA0022.jpg)
MSANII WA KUNDI LA KAOLE AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TAwaEl4B-eI/VNc5jE1QaPI/AAAAAAAHCc0/0H0fIZXcqhc/s1600/IMG20150207WA0022.jpg)
Taarifa za msiba huo zilitolewa jana na Watoto wa Marehemu kwa ndugu na majirani wa eneo hilo,huku tetesi zikienea kwamba wamefanya hivyo ili kukwepa aibu kwa majirani kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi mama yao huyo kuwa ni chakavu,hivyo...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OWGUNuUYITA/VoKUl3RKkXI/AAAAAAAIPOQ/5nG5CRlWA4I/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-12-29%2Bat%2B5.07.57%2BPM.png)
Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo - Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
![](http://3.bp.blogspot.com/-OWGUNuUYITA/VoKUl3RKkXI/AAAAAAAIPOQ/5nG5CRlWA4I/s400/Screen%2BShot%2B2015-12-29%2Bat%2B5.07.57%2BPM.png)
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia. Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo – Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
![](http://4.bp.blogspot.com/-O4QW4oBbZUs/VoJh2eNL2vI/AAAAAAAAIfA/BmWbFFzxq8U/s1600/Dr%2B-Yash-Gulati.jpg)
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia.
Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaFtDpzTnKUhGJz97zphnSfCvWWAjynj--4kEOt2Cik71oO3TMAJsW4Jfoc2geeRn9FcgG5LlHrs*Qa5tZuaJZu9/CHENI.jpg?width=650)
CHENI AIKUMBUKA KAOLE, KUIRUDISHA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ1Um6MUcpbOKCcd3st7EVf8x2kG1ORBOUdQ5OhL2a4*IMv1oVxj1EPtwDthnlwGMcjMJxXBo1hS43MuAE1FqVnX/sandra.jpg)
SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JJHwKSwkJNddbQTc453maLHIBFXA9B6cc1T*tpQ0UGm9Mbuz5Me5b1LoXFz44wbU4GW0dvU-P-ObZhEvDqmPmJc/kaole.jpg)
NDOA YA WASANII WA KAOLE YAJIBU
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Rushwa ya ngono iliniondoa Kaole-Batuli
Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono, Batuli amefunguka hayo leo alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili aweze kupewa kipaumbele zaidi kuliko wasanii wengine...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Jumuiya CCM kurejesha shule yake ya Kaole
JUMUIYA ya Wazazi kupitia CCM wilayani hapa imeweka mikakati mbalimbali ya kuirejesha shule yake ya ufundi ya Kaole, ianze kuchukua wanafunzi wakiwemo wale wa kutoka wilaya hiyo.
11 years ago
GPLAGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU