Jumuiya CCM kurejesha shule yake ya Kaole
JUMUIYA ya Wazazi kupitia CCM wilayani hapa imeweka mikakati mbalimbali ya kuirejesha shule yake ya ufundi ya Kaole, ianze kuchukua wanafunzi wakiwemo wale wa kutoka wilaya hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 Mar
11 years ago
Habarileo10 Apr
CCM kurejesha majimbo yaliyochukuliwa upinzani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema wamejiandaa kurejesha majimbo yote yaliyochukuliwa na vyama vya upinzani. Aidha amesema wana uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika mwaka huu.
11 years ago
Habarileo20 Mar
CCM yapania kurejesha Jimbo la Iringa Mjini
BAADA ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinajiimarisha zaidi kirejeshe mikononi mwake, Jimbo la Iringa mjini mikononi mwake. Jimbo la Iringa Mjini linaloongozwa na Mchungaji Peter Msigwa aliyechaguliwa mwaka 2010 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
Vijimambo01 Jul
TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA
10 years ago
VijimamboWAKINA MAMA WA UMOJA WA JUMUIYA YA KIISLAM KAHAMA WAAZISHA SHULE
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa CCM Kikundi cha akina mama kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziJK mgeni rasmi mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Jumuiya ya Afrika Mashariki
5 years ago
MichuziMAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Jumuiya ya A. Mashariki: Mwaka 2013 iliyumba, kila nchi ilifanya yake