Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKINA MAMA WA UMOJA WA JUMUIYA YA KIISLAM KAHAMA WAAZISHA SHULE

 Mazungumzo Sheikh wa wilaya ya kahama wa kwanza kushoto Omary Damka Na Mgeni wake Sheikh Khamis Mataka Sheikh wa wilaya ya kahama Omary Damka akisema neno kwa mgeni Rasmin Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja akitoa neno la  shukurani kwa mgeni Rasmi kwenye Harambee hiyo ya ujenzi wa shule ambapo mgeja alichangia shilingi milioni mbili 2 na mifuko kuni ya saruji . Sheikh Khamis Mataka akitoa Hotuba kwenye Harambee hiyo. Baadhi ya kinamama wa jumuiya ya kislamu mwenye maiki ni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa -Siku Wakina Mama May 31, 2015

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikuadhimisha sikukuu ya wakina mama
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki laMtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 31 Mei 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na anwani....

 

10 years ago

GPL

SHULE YA JABALHIRA YA MWANZA YAONGOZA MTIHANI WA DINI YA KIISLAM

Afisa Mwandamizi Suleiman akisoma majina ya shule kumi bora. Majina ya shule zilizoshika nafasi ya  kumi bora kitaifa pamoja na majina ya wanafunzi waliofanya vizuri. Wanahabari wakisilikiza orodha ya majina ya…

 

9 years ago

GPL

MAMA: LULU RUKSA KUOLEWA KIISLAM

MAGEUZI! Mama mzazi wa staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametoa baraka kwa bintiye huyo ambaye kiimani ni Mkristo, kufunga ndoa ya Kiislam kwa madai kuwa ndoa si dini bali ni utu wa mtu.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kuna barua za posa mbili ambazo mwanamke huyo mwenye misimamo amekuwa akizikataa kutokana na wahusika kuwa na imani tofauti na Lulu. Staa wa filamu za Bongo,...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MASELE AWAJENGEA UWEZO WAKINA MAMA LISHE MKOANI SHINYANGA

 Mbunge wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na kuwaongezea mtaji wa biashara yao.  Wakina Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakishangilia jambo wakati wa hotuba ya Mbunge wao Ndugu Stephen Masele,kwenye ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana tarehe 26 Februari 2014.  Wakina Mama Lishe ambao wengi...

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA MWENGE AKABIDHI KADI ZA CHF KWA WAKINA MAMA JIJINI TANGA

Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib Chumu akimkabidhi kadi ya CHF Amina Mohamed kwenye viwanja vya Mkwakwani ambazo walikabidhi wakina mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba ,Ummy Mwalimu (hayupo pichani). nyuma yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Tanga(NHIF) Ally Mwakababu.Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib Chumu akimkabidhi kadi ya CHF Saumu Kombo mkazi wa Ngamiani jijini Tanga kwenye viwanja vya Mkwakwani kadi hizo ambazo walikabidhi...

 

9 years ago

CCM Blog

CHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI

 Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akizungumza kabla ya kukabidhi vitanda 60 vya kujifungulia wakina mama katika mkoa wa Lindi, kushoto ni mkalimani wake Ndugu Mu Lin.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) ambapo alisema Serikali ya China pamoja na watu wake wamekuwa marafiki wa kweli kwa Tanzania na wamekuwa wakitoa misaada mingi bila kutoa masharti.

 Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA TANZANIA WOMEN'S BANK MS MARGARETH CHACHA AKUTANA NA WAKINA MAMA WA DMV

Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women's Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki ya akina mama. Mchungaji Dr. Nicku Kyangu Mordi akianza kwa sala kabla ya mkutano kuanza. Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank akiongea na akina mama DMV siku ya Ijumaa April 11, 2014 na kuwapa faida ya kufungua AC na Benk hiyo ikiwemo masharti nafuu ya mikopo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women’s Bank Margareth Chacha akutana na wakina Mama wa DMV

Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women’s Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki ya akina mama.

Mchungaji Dr. Nicku Kyangu Mordi akianza kwa sala kabla ya mkutano kuanza.

Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women’s Bank akiongea na akina mama DMV siku ya Ijumaa April 11, 2014 na kuwapa faida ya kufungua AC na Benk hiyo ikiwemo masharti nafuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani