MAMA: LULU RUKSA KUOLEWA KIISLAM
![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQQZ*7sZQE1yt548sjT4LMt8Js*N1nhTS-5uCA8Va8hXYGaw1aUG2RvvSYTjFQ6s1OUhoOoe9U1t6GA3vm82cLVr/lulu.jpg?width=650)
MAGEUZI! Mama mzazi wa staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametoa baraka kwa bintiye huyo ambaye kiimani ni Mkristo, kufunga ndoa ya Kiislam kwa madai kuwa ndoa si dini bali ni utu wa mtu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kuna barua za posa mbili ambazo mwanamke huyo mwenye misimamo amekuwa akizikataa kutokana na wahusika kuwa na imani tofauti na Lulu. Staa wa filamu za Bongo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAKINA MAMA WA UMOJA WA JUMUIYA YA KIISLAM KAHAMA WAAZISHA SHULE
10 years ago
VijimamboELIZABETH MICHAEL (LULU) WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtr1cdVx9tk-ZbNWOxYi05WgkjzV9wU-RTMz9vEPaeNenlkACwbpi2FPah6SXq4YWp5k3WyzAJm0g-u-XDb1wOou/MAMAKANUMBA.jpg?width=650)
MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
9 years ago
Bongo Movies01 Nov
Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu
MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.
“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9cKVne0M9OiZ-5-XOtkPZUeDU-x3e5fQ5HZFCXI52MZmjiTOAjF6nrOkAbZvZnHNM0wGBzvePTa-s1-cpP0w8qI/FrolaMtegoa.jpg)
MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA
10 years ago
Habarileo10 Jun
Auawa kwa kipigo akipinga mama yake kuolewa na tineja
MKAZI wa kitongoji cha Izia, manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Sylvester Mtoni (32) ameuawa kikatili na baba yake wa kambo wakishirikiana na bibi yake baada ya kushambulia kwa ngumi, mateke na rungu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulkB3AjmJeapOeWP4lZYp1etLF-jVxbG3oKvvW7lamJnXhSd*a7GFJs6zCw3zQClmIdZqPo83lBWB78pGH5yjtmN/1.jpg?width=650)
MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!