Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO

Stori: Mwandishi Wetu
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na  Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili ya kula kiapo cha kuimarisha undugu huo. Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi. Wazazi hao wawili walijikuta katika undugu kufuatia Elizabeth Michael...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.

 

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.

“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...

 

9 years ago

GPL

MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA

Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Mayasa Mariwata MAMA mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa endapo urafiki wao na mama Lulu, Lucresia Karugila ungeendelea, kuna siku angejikuta gerezani kwani angeweza kumfanyia kitu kibaya. Akipiga stori na gazeti hili, Flora alisema anashukuru urafiki wao kusambaratika kwani mara nyingi kwenye maongezi yao, hasa akiwa amepata kiburudisho, mama...

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!

Mwandishi wetu
Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa na mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila, sasa kimenuka! Mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. DALILI KUWA PAKA...

 

11 years ago

GPL

LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
MSANII wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mwanzoni mwa wiki hii alimshangaza (surprise) mama wa mpenzi wake wa zamani, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa wakati alipokuwa akisherehekea miaka 58 tokea alipozaliwa. Kumshangaza huko kumekuja baada ya Lulu kufika nyumbani kwa mama Kanumba, Kimara Temboni jijini Dar akiwa na bonge la keki, jambo ambalo mama huyo...

 

10 years ago

GPL

LULU, MAMA KANUMBA WAFIKA PABAYA

WAANDISHI WETU HALI ni mbaya! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa fani hiyo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa wamefikia pabaya baada ya mama huyo kumshushia Lulu maneno  makali na ya shutuma, Amani lina taarifa. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari zilizojiri ndani ya chumba cha habari cha gazeti hili zinadai kuwa, mama Kanumba...

 

9 years ago

GPL

LULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO

Mayasa Mariwata MAKUBWA! Mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amejikuta kwenye simanzi nzito baada ya kukutana na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye alikuwa mpenzi wa mwanaye kumpita bila kumsalimia.   ...Soma zaidi====>http://goo.gl/yGWP4w

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA, UNAONAJE UKIACHANA NA LULU?

NImiaka mitatu sasa tangu  kufariki kwa Steven Kanumba, mmoja kati ya waigizaji mahiri waliojipatia mamia ya mashabiki kutokana na kazi zake nzuri. Kwa watu wake wa karibu, na pengine mashabiki wote, kifo chake kilikuwa ni cha ghafla na cha kushtua sana. Kwa tuliomfahamu kiasi, huu siyo tena wakati wa kurejea maisha yake, kwa sababu tulijua nini alitaka katika maisha yake ya uigizaji na kwa kiwango kikubwa, alielekea...

 

10 years ago

GPL

LULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA

Gladness Mallya MAMA mzazi wa aliyekuwa staa wa filamu, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, bado anateswa na Elizabeth Michael kufuatia maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii katika siku ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya kifo cha mwanaye. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JTxcRT

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA: LULU NI MKWE SAHIHI KWANGU

Stori:  Imelda Mtema
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa ameibuka na kueleza kuwa, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni mkwe sahihi kwake kwa namna alivyo na heshima na anavyomjali kama mama yake. Mama mzazi wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa akipozi na Lulu. Akizungumza wikiendi iliyopita nyumbani kwake, Kimara - Temboni, Dar, mama huyo alisema, kama mwanaye angekuwa hai angekuwa amepata mke bora wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani