LULU, MAMA KANUMBA WAFIKA PABAYA

WAANDISHI WETU HALI ni mbaya! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa fani hiyo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa wamefikia pabaya baada ya mama huyo kumshushia Lulu maneno makali na ya shutuma, Amani lina taarifa. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari zilizojiri ndani ya chumba cha habari cha gazeti hili zinadai kuwa, mama Kanumba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LULU, WEMA WAFIKA PABAYA
10 years ago
GPL
KISA UHUSIANO NA DIAMOND LULU, WEMA WAFIKA PABAYA!
11 years ago
GPL
MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
10 years ago
Bongo Movies01 Nov
Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu
MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.
“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!
11 years ago
GPL
LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA
10 years ago
GPL
LULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA, UNAONAJE UKIACHANA NA LULU?