MAMA KANUMBA, UNAONAJE UKIACHANA NA LULU?

NImiaka mitatu sasa tangu kufariki kwa Steven Kanumba, mmoja kati ya waigizaji mahiri waliojipatia mamia ya mashabiki kutokana na kazi zake nzuri. Kwa watu wake wa karibu, na pengine mashabiki wote, kifo chake kilikuwa ni cha ghafla na cha kushtua sana. Kwa tuliomfahamu kiasi, huu siyo tena wakati wa kurejea maisha yake, kwa sababu tulijua nini alitaka katika maisha yake ya uigizaji na kwa kiwango kikubwa, alielekea...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
10 years ago
Bongo Movies01 Nov
Mama Kanumba Adai Kutukanwa na Mama Lulu
MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amedai kwamba mama wa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresa Kalugira amemtukana matusi mazito yaliyomsababishia presha na vidonda vya tumbo.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama Kanumba alisema wiki mbili zilizopita mama Lulu alimpigia simu usiku wa manane na kuanza kumporomoshea matusi na kumtaka aache kumfuatilia na mwanaye.
“Kweli hayo matusi yameniumiza, mpaka sasa ninaumwa kwani presha inapanda kila...
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA: MAMA LULU ANGENIPELEKA JELA
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!
11 years ago
GPL
LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA
10 years ago
GPL
LULU, MAMA KANUMBA WAFIKA PABAYA
10 years ago
GPL
LULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA
10 years ago
GPL
LULU, MAMA KANUMBA WAPIGANA VIKUMBO
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA: LULU NI MKWE SAHIHI KWANGU