Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kurejesha majimbo yaliyochukuliwa upinzani

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema wamejiandaa kurejesha majimbo yote yaliyochukuliwa na vyama vya upinzani. Aidha amesema wana uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

CCM: Tutarejesha majimbo yote ya upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hivi sasa kipo makini kuhakikisha kinaweka udhibiti wa kutosha wa makundi majimboni. Pia chama hicho, kimesisitiza kuwa, kutokana na kukithiri kwa makundi hayo, viongozi wake wa kitaifa wamekuwa hawalali kwa kuangalia namna ya kurejesha majimbo yote ya wapinzani mikononi mwa chama hicho.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

10 years ago

Mwananchi

Majimbo haya mkoani Mara ni ngome imara ya upinzani

Jimbo la Musoma Vijijini Jimbo hili linapatikana katika W ilaya ya Musoma Vijijini, mahala alipozaliwa, kukua, kucheza na kusoma, mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA SUDAN KUSINI ATEKELEZA TAKWA LA UPINZANI, APUNGUZA IDADI YA MAJIMBO

Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimboAfrika Kusini imepongeza hatua ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ya kupunguza idadi ya majimbo nchini, moja ya matakwa makuu ya upinzani unaoongozwa na Riek Machar, kwa ajili ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.David Mabuza, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ambaye pia ni mjumbe maalumu wa Sudan Kusini amesema kuwa, "hatua ya kimapinduzi iliyochukuliwa na Rais Salva Kiir imeandaa mazingira ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kabla ya kumalizika muda ulioanishwa unaomalizika ndani ya...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : Majimbo ya Kilindi, Mkinga na Muheza mkoani Tanga hayana dalili nzuri kwa upinzani

Jimbo la Kilindi lina jumla kata 20, vijiji 102 na vitongoji 615 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kuna wakazi 236,833 wanaume ni 118,167 na wanawake 118,666 kukiwa na wastani wa watu watano katika kila kaya.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA CCM APUKUTISHA UPINZANI LINDI, 61 WAJUNGA NA CCM WAMO VIONGOZI

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani