RAIS WA SUDAN KUSINI ATEKELEZA TAKWA LA UPINZANI, APUNGUZA IDADI YA MAJIMBO
Afrika Kusini imepongeza hatua ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ya kupunguza idadi ya majimbo nchini, moja ya matakwa makuu ya upinzani unaoongozwa na Riek Machar, kwa ajili ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.David Mabuza, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ambaye pia ni mjumbe maalumu wa Sudan Kusini amesema kuwa, "hatua ya kimapinduzi iliyochukuliwa na Rais Salva Kiir imeandaa mazingira ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kabla ya kumalizika muda ulioanishwa unaomalizika ndani ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xoQXWVIpRpY/XktoH8kC9BI/AAAAAAALd1I/kQKnZTnPAywY5uYag-0CVfIuEkWYRhVIQCLcBGAsYHQ/s72-c/_107994035_a37f7533-7ca0-4c0d-970d-aa214be4a5e0.jpg)
Rais wa Sudan kusini Salva Kiir apunguza majimbo nchini humo kutoka 32 hadi 10
![](https://1.bp.blogspot.com/-xoQXWVIpRpY/XktoH8kC9BI/AAAAAAALd1I/kQKnZTnPAywY5uYag-0CVfIuEkWYRhVIQCLcBGAsYHQ/s640/_107994035_a37f7533-7ca0-4c0d-970d-aa214be4a5e0.jpg)
Kiongozi wa upinzani ambaye pia ni makamu wa rais wa zamani Daktari Riek Machar amekaribisha tanganzo hilo la bwana Kiir na kusema ni hatua muhimu katika mchakato wa kuleta amani ya kudumu katika taifa hilo changa duniani ambalo limezongwa na mapigano ya umwakigaji damu ya wenyewe kwa wenyewe.
Siku ya...
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Kiir aidhinisha majimbo mapya Sudan Kusini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGibJO**mq2pzjmaCQv7aEwM7TQHGS7ta6rk1Kon-xPhBCfHhzGB48OjCgLIdoQxE2U3t81Pn1LKG5LYMSOUbBmPb/1ss1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Kikwete, Rais wa Sudan Kusini kukutana Arusha leo
11 years ago
Habarileo08 Apr
CCM: Tutarejesha majimbo yote ya upinzani
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hivi sasa kipo makini kuhakikisha kinaweka udhibiti wa kutosha wa makundi majimboni. Pia chama hicho, kimesisitiza kuwa, kutokana na kukithiri kwa makundi hayo, viongozi wake wa kitaifa wamekuwa hawalali kwa kuangalia namna ya kurejesha majimbo yote ya wapinzani mikononi mwa chama hicho.
11 years ago
Habarileo10 Apr
CCM kurejesha majimbo yaliyochukuliwa upinzani
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema wamejiandaa kurejesha majimbo yote yaliyochukuliwa na vyama vya upinzani. Aidha amesema wana uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika mwaka huu.
10 years ago
Habarileo18 May
RC Dar atekeleza agizo la Rais Kikwete
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki kwa kushirikiana na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete la kuondoa maji katika makazi ya watu kwenye maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo yaliyosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini hivi karibuni.
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Majimbo haya mkoani Mara ni ngome imara ya upinzani
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini atekeleza ahadi yake ya kuiwezesha CCM wilaya ya Morogoro vijijini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) akikabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa ya kusaidia chama cha Mapinduzi kujitegemea kiuchumi. Mh Kalogeris amekabidhi pikipiki hizo akiwa na lengo kila kata kuwa na Pikipiki moja uwe mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa Pikipiki.Mh...