RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14, mwaka huu Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma. (PICHA NA IKULU)… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Rais Kikwete apokea ujumbe toka kwa Rais wa Sudani ya Kusini Mhe Salvar Kiir jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.(Picha na IKULU).
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi


10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA JAPAN PAMOJA NA SUDAN