Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete apokea ujumbe toka kwa Rais wa Sudani ya Kusini Mhe Salvar Kiir jijini Dar

ss1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini  ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.(Picha na IKULU).

ss2

unnamed (6)

 

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mjumbe malumu wa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini,Jenerali James Kok Ruea alieleta Ujumbe maalum toka kwa Rais huyo wa Sudan Kusini Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekisoma ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14, mwaka huu Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma. (PICHA NA IKULU)… ...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 9, 2015Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akisaini kitabu...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu mjumbe maalum wa Serikali ya Burundi Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza leo jioni.Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea barua kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi iliyowasilishwa kwake na Mjumbe maalum Mhe.Eliseu Joachim Machava ambaye pia ni katibu Mkuu wa Chama Cha FRELIMO ikulu jijini Dar es Salaam leo.Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani