Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo – Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
Dr Yash Gulati, Senior Spine and Joint Replacement Surgeon at Apollo Hospitals; Delhi.Na Mwandishi Wetu,
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia.
Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAfya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo - Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia. Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...
9 years ago
MichuziMtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Ugonjwa wa Uti wa mgongo
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo
Na Joseph Lino, Dar es Salaam
HATIMAYE Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa uchunguzi wa matatizo yake ya uti wa mgongo.
Kardinali Pengo pia amegusia nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwataka watanzania kumchagua rais fukara kuliko anayetafuta nafasi hiyo kwa rushwa.
Alitoa kauli hiyo katika mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Namna ya kukabili maumivu makali ya uti wa mgongo
10 years ago
MichuziUJUMBE WA WATAALAMU MABINGWA WA MAGONJWA YA KICHWA NA UTI WA MGONGO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe aliofuatana nao jana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa...
9 years ago
MichuziMAKALA: Zao la Karafuu laweza kuwa uti wa mgongo wa Uchumi Zanzibar
Kuimarisha Zao la Karafuu ni sawa na kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya nchi, jitihada za Wadau ni muihimu ili kufika lengo la Serikali la kuifanya Sekta ya Zao la Karafuu kuwa uti wa mgongo wa Uchumi liweze kufikiwa.
Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Karafuu kwa Maendeleo ya Uchumi Serikali imefanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa Wakulima na Taifa kwa jumla.
Katika utekelezaji wa Mageuzi hayo yaliyoanza mwaka...
10 years ago
GPLMAUMIVU YA MGONGO NA VICHOMI
11 years ago
GPLMAUMIVU YA SHINGO NA MGONGO