Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rushwa ya ngono iliniondoa Kaole-Batuli

Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono, Batuli amefunguka hayo leo alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.

Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili aweze kupewa kipaumbele zaidi kuliko wasanii wengine...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RUSHWA YA NGONO YAMNASA KANJIBAI

Stori:  richard Bukos na Issa Mnally/Ijumaa
Hii ni tuhuma nzito! Katika hali inayoonesha maadili Bongo yanagaragazwa kwa kiwango cha kutisha, mapema wiki hii jamaa mmoja mfanyabiashara mwenye asili ya Kihindi almaarufu Kanjibai au Ponjoro, alinaswa kitandani akiwa mtupu na mwanamke aitwaye Hidaya ambaye ni mke wa mtu, akidaiwa kudai rushwa ya ngono ili ampe ajira. Kanjibai akiwa mpole baada ya kufumaniwa. OFM YATONYWA
...

 

11 years ago

GPL

MENINAH AFUNGUKIA RUSHWA YA NGONO BSS

Kama kawaida, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ ambapo mlituma maswali yenu na leo haya ndiyo majibu yake, UNGANA NAYE... Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. RUSHWA YA NGONO BSS
Meninah kwanza nakupa big up kwa utulivu ulionao mpaka sasa, je, kwenye mchujo… ...

 

11 years ago

GPL

SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya ngono. Salma Salmini ‘Sandra’. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kikubwa kinachoikwamisha tasnia hiyo ambayo kwa sasa inaongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ni watu kusaidiana...

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania

Dar es Salaam.  Serikali imesema imeyafungia mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandaaji kukiuka taratibu na kanuni huku pia yakitajwa kukithiri kwa rushwa ya ngono na upendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu

AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...

 

11 years ago

GPL

MENINA: ETI NITOE RUSHWA YA NGONO, MH!

Stori: Imelda Mtema
MWANAMUZIKI aliyeibukia kwenye Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, Menina Atick amesema licha ya kusikia kuwepo kwa baadhi ya wanaume wenye nafasi kwenye ‘game’ la muziki ambao huomba rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike ili wawatoe, yeye atakomaa na anaamini atasimama. Menina Atick. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Menina ambaye sasa anasumbua na wimbo wake wa Shaghala Baghala alisema...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Mkiombwa rushwa ya ngono semeni-Wajiki

Wananchi wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kuombwa rushwa ya ngono wametakiwa kusema bila kuficha chochote.

 

10 years ago

GPL

DK. CHENI: RUSHWA YA NGONO WANAITAKA WENYEWE!

Stori: Gladness Mallya
KASHFA! Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amekanusha tabia ya wasanii wakubwa kuwaomba rushwa ya ngono wasanii chipukizi na kudai wanaziendekeza wao wenyewe. Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. Akipiga stori na paparazi wetu, Dk. Cheni alisema yeye hajawahi kumuomba msanii rushwa ya ngono, isipokuwa anaamini walio wengi huanzisha mahusiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani