MENINA: ETI NITOE RUSHWA YA NGONO, MH!
![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N64H0TyPAzpvhEpQ81tig0i7gb7mI4ifpEoIpLnUqLjLynAIgXt7AEvBa1Fm1S1fRxRzBdP75HHBuppOgrbqW1q/menina.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MWANAMUZIKI aliyeibukia kwenye Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, Menina Atick amesema licha ya kusikia kuwepo kwa baadhi ya wanaume wenye nafasi kwenye ‘game’ la muziki ambao huomba rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike ili wawatoe, yeye atakomaa na anaamini atasimama. Menina Atick. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Menina ambaye sasa anasumbua na wimbo wake wa Shaghala Baghala alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Feb
HEKAYA ZA MLEVI: Eti, mwanangu acheze picha ya ngono?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2Q*aLMEZ1JbfKvJbjG3Og1VI37bdvOeLa89mvDrIXnBy5H1pe3VsTIficyXwfOTEDSERPoF-6DmMAnpOHmHb7Ig/FRONT.jpg?width=650)
RUSHWA YA NGONO YAMNASA KANJIBAI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORUJX1ZpgX4NZf5gUDOpccLu-yDH50r85OFQY7Bmay-RNhZoEzN9HFMuR7Z5l*k5-hswzv3R59Ngoy-gjDgVtGV/sandra.jpg?width=650)
SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE
10 years ago
GPL16 Feb
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Rushwa ya ngono iliniondoa Kaole-Batuli
Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono, Batuli amefunguka hayo leo alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili aweze kupewa kipaumbele zaidi kuliko wasanii wengine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSyC6r8gDetBMjh6mu*oc*sz*amIThchvVqcVpfTVoP2Mte79Cn4xsFvEYBnq59GjO7udumUel4z2fkLFfR92yz/MENINA.jpg)
MENINAH AFUNGUKIA RUSHWA YA NGONO BSS
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu
AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Mkiombwa rushwa ya ngono semeni-Wajiki